mtangazaji nyota wa idhaa ya kiswahili redio ya sauti ya ujeremani aboubakar liongo akihojiana na mchezaji nyota wa zamani wa pan african na taifa staaz kassim manara walipokutana ughaibuni hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa anahojiwa huku ze laga ipo pembeni? Si mchezo..

    ReplyDelete
  2. du issa we ni kiboko mpaka kassim Manara umemnasa sasa hebu wadau tuambieni jamaa anakipiga bado au? kwani yule kakaake sunday nadhani bado yupo pale Wailes Temeke kwa Ngonyani.

    ReplyDelete
  3. Twambie Kassim yuko nchi gani na afanyanya nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...