mgahawa na baa ya maryland ilioko mwenge bado inadunda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Inadunda lakini ishaua wengi akina Ayubu, Beya na wengine kibao

    ReplyDelete
  2. Maryland!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!MarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMarylandMaryland

    Kwa nini isiitwe Kisiju, Tambukareli, Nyabange, Maruku ama Mpanda?

    ReplyDelete
  3. Du michuzi mbona unanionesha hapo karibu na nyumbani kwangu jamani unataka nikumbuke zaidi home! Loh this is unfair

    ReplyDelete
  4. MICHUZI,
    HAPA MAHALI NDIPO NILIKUWA NAKWENDA MARA NYINGI MNO KWAAJILI YA BIA NA VITU KAMA KUKU, NYAMA CHOMA NK. AU mara nyingine nilikuwa nikienda ROSE GARDEN. NAIMISS MNO KILI, SAFARI, PILSNER ICE NK.......

    TUTAKUJA TU HOME BWANA ISSA.

    mlalahoi....

    ReplyDelete
  5. Hiyo huko nyuma ninini. Inafanana kama bridge vile...Cool view

    ReplyDelete
  6. mzalendo!

    toka umefundishwa ku copy na ku paste basi imekuwa tatizo, ungeweka basi space kwenye hilo shairi lako la maryland, manake umesababisha hadi page ya maoni inafunguka kama gazeti la mzalendo,

    kwani ilivyoitwa maryland kimebadilika nini?, na ingeitwaje tambukareli wakati hapo hakuna reli, na hayo majina mengine ya kilugha unajua maana zake?, watu mkikosa cha kuandika bwana...

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. Mzalendo,

    Umenikumbusha sana kwetu Tambukareli Mpanda; viazi vitamu na asali na karanga!

    ReplyDelete
  9. Jamani hivi Beya keshakufa??? Hebu Annony wa kwanza fafanua...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...