Home
Unlabelled
matola
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duu!! Huo Ndio Uwanja Wa Mazoezi Ya JK BoyZ??? Acha Tule nne Haki Yetu Hapo Mpira Haukai Mguuni Kabisa Ugoko Tupu
ReplyDeletethe guy is 44 yrs old
ReplyDeleteHuyo kijeba hana nafasi, Tunataka sasa vijana sio kama sample dizaini ya huyu jamaa mnayemigia chapuo.
ReplyDeletenamkubali sana matola lakini kwa mpira wa bongo, bondeni hawezi kutokana na age, then afya mgogoro hawezi kucheza na watu waliojengeka kimpira na wamekulia maisha ya soka, mpira wa bondeni jamani unalingana na ulaya sio lele mama unahitaji kukaza sana, anyway nakushauri uendelee kutesa tu hapa bongo mawazo ya kucheza nje ya bongo sahau mtu wangu
ReplyDeleteWe Kimbavala unasema bondeni hawezi hujui amecheza huko misimu miwili,na mwaka wa kwanza alikuwa ktk first eleven.Mwaka wa pili akaanza kuandamwa na majeruhi,na kupoteza namba first eleven?sasa hawezi vp?tatizo la majeruhi hutokea wachezzaji wengi tu duniani,kama unamjua keron Dyer atakuwa mfano kwako.Au unadhani Jonathan Woodgate kuandamwa na majeruhi mpaka Real Madrid wamemuacha ni kwa kuwa hajui kucheza,au mzee,au hajajengeka?kumbuka alikuwapo mpaka National team ya England.Comment vitu unavyovijua sio kuropoka tu.Isitoshe kuna ubaya gani kama Maximo akimwona anafaa kumuongeza ktk timu,huoni experience yake itasaidia wengine ktk timu?Hukumbuki ya Roger Milla?au Mkongwe Blanc wa France wakati wanachukua world cup 1998?acheni sifa na dharau washkaji!
ReplyDeletealichelewa tu kwenda huko Bondeni, angekwenda miaka 6 au 7 iliyopita angekuwa mmoja wa wanasoka bora kwenye PSL.
ReplyDeleteKuhusu yeye kuwepo Taifa Stars, nadhani kwa sasa kuna vijana wadogo wengi sana ambao wanacheza vizuri kwa sasa kwa mfano Henry Joseph na wengineo.
we anon 8:56 unajua soka si utani.Maana kuna watu hutoa comment kwa kukashifu tu. Its true Maximom should look at Matola, If he is still the same player as of two years ago, then he has alot to offer to our country. Huyo anayesema tupange watoto hajui kama kuna mpango endelevu na kuna coach mwingine toka Brazil for under 17s? Huyo kocha akianza kazi yake it will be simple for maximo to get young boys for the Team, currently we must utilise the players we have and sincerely the team Maximo has is the best players we currently have in the country.
ReplyDeleteOtherwise lets not forget maendeleo ya soka hayaji over one night...kufungwa na senegal was part and percel of progression for a country which the most loved game in the world was screwed for years.
Kweli mzee mwenyewe. Watu msidharau wachezaji wa nyumbani ulimbukeni huo.
ReplyDeletejamani tulizeni madomo hayo mchizi afya ya mgogoro hawezi kucheza na watu walojijenga kimchezo
ReplyDeleteWe anon wa 5:33 Robinho akiwa mwembamba si tatizo, akiwa Matola ah!afya mgogoro.Crouch na wembamba wake mtasema umbo tu,lakini mtanzania akiwa mwembamba afya mgogoro.Sibishi kuwa kuna wachezaji wa TZ wanamatatizo ya afya/stamina kutokana na hali ya kiuchumi ya nchi tangu wanakua,lakini sio wote.Kuna wengine wamekua ktk familia nzuri na wanalipwa vizuri.Kama Matola amecheza S.Africa 2 yrs na wakamkubali (ujue alichelewa kuonekana kwa kuwa mawakala walikuwa hawaijui Tz) sasa afya mgogoro imetoka wapi.Jamaa ana stamina nzuri tu, na tangu karudi nasikia maisha yake super ukilinganisha na wachezaji wengi bongo!tuache dharau
ReplyDelete