baada ya kucheza soka la kulipwa katika klabu cha supersports huko sauzi, kiungo hodari wa simba selemani matola amerejea nyumbani. hapa akiongoza mazoezi ya viungo. wengi wanadai inafaa kama maximo atamtupia jicho...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Duu!! Huo Ndio Uwanja Wa Mazoezi Ya JK BoyZ??? Acha Tule nne Haki Yetu Hapo Mpira Haukai Mguuni Kabisa Ugoko Tupu

    ReplyDelete
  2. the guy is 44 yrs old

    ReplyDelete
  3. Huyo kijeba hana nafasi, Tunataka sasa vijana sio kama sample dizaini ya huyu jamaa mnayemigia chapuo.

    ReplyDelete
  4. namkubali sana matola lakini kwa mpira wa bongo, bondeni hawezi kutokana na age, then afya mgogoro hawezi kucheza na watu waliojengeka kimpira na wamekulia maisha ya soka, mpira wa bondeni jamani unalingana na ulaya sio lele mama unahitaji kukaza sana, anyway nakushauri uendelee kutesa tu hapa bongo mawazo ya kucheza nje ya bongo sahau mtu wangu

    ReplyDelete
  5. We Kimbavala unasema bondeni hawezi hujui amecheza huko misimu miwili,na mwaka wa kwanza alikuwa ktk first eleven.Mwaka wa pili akaanza kuandamwa na majeruhi,na kupoteza namba first eleven?sasa hawezi vp?tatizo la majeruhi hutokea wachezzaji wengi tu duniani,kama unamjua keron Dyer atakuwa mfano kwako.Au unadhani Jonathan Woodgate kuandamwa na majeruhi mpaka Real Madrid wamemuacha ni kwa kuwa hajui kucheza,au mzee,au hajajengeka?kumbuka alikuwapo mpaka National team ya England.Comment vitu unavyovijua sio kuropoka tu.Isitoshe kuna ubaya gani kama Maximo akimwona anafaa kumuongeza ktk timu,huoni experience yake itasaidia wengine ktk timu?Hukumbuki ya Roger Milla?au Mkongwe Blanc wa France wakati wanachukua world cup 1998?acheni sifa na dharau washkaji!

    ReplyDelete
  6. alichelewa tu kwenda huko Bondeni, angekwenda miaka 6 au 7 iliyopita angekuwa mmoja wa wanasoka bora kwenye PSL.

    Kuhusu yeye kuwepo Taifa Stars, nadhani kwa sasa kuna vijana wadogo wengi sana ambao wanacheza vizuri kwa sasa kwa mfano Henry Joseph na wengineo.

    ReplyDelete
  7. we anon 8:56 unajua soka si utani.Maana kuna watu hutoa comment kwa kukashifu tu. Its true Maximom should look at Matola, If he is still the same player as of two years ago, then he has alot to offer to our country. Huyo anayesema tupange watoto hajui kama kuna mpango endelevu na kuna coach mwingine toka Brazil for under 17s? Huyo kocha akianza kazi yake it will be simple for maximo to get young boys for the Team, currently we must utilise the players we have and sincerely the team Maximo has is the best players we currently have in the country.
    Otherwise lets not forget maendeleo ya soka hayaji over one night...kufungwa na senegal was part and percel of progression for a country which the most loved game in the world was screwed for years.

    ReplyDelete
  8. Kweli mzee mwenyewe. Watu msidharau wachezaji wa nyumbani ulimbukeni huo.

    ReplyDelete
  9. jamani tulizeni madomo hayo mchizi afya ya mgogoro hawezi kucheza na watu walojijenga kimchezo

    ReplyDelete
  10. We anon wa 5:33 Robinho akiwa mwembamba si tatizo, akiwa Matola ah!afya mgogoro.Crouch na wembamba wake mtasema umbo tu,lakini mtanzania akiwa mwembamba afya mgogoro.Sibishi kuwa kuna wachezaji wa TZ wanamatatizo ya afya/stamina kutokana na hali ya kiuchumi ya nchi tangu wanakua,lakini sio wote.Kuna wengine wamekua ktk familia nzuri na wanalipwa vizuri.Kama Matola amecheza S.Africa 2 yrs na wakamkubali (ujue alichelewa kuonekana kwa kuwa mawakala walikuwa hawaijui Tz) sasa afya mgogoro imetoka wapi.Jamaa ana stamina nzuri tu, na tangu karudi nasikia maisha yake super ukilinganisha na wachezaji wengi bongo!tuache dharau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...