inasemekana mcd wa twanga pepeta intaneshno hana mpinzani katika kukung'uta bongoz hapa bongo. pata zawadi ya 'mtu pesa' kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu ndio mkaanga chips namba moja hapa Bongo, siku hizi ameanza kumfundisha Nyamwela namna ya kuyadunda haya mangoma (tumba) na jamaa anachipukia viuri tu

    ReplyDelete
  2. HUYU KIJANA ANA KIPAJI NA TULIKIIONA TOKA AKIWA PALE MOSHI KTK SARAKASI NA NGOMA 70'S NA MWANZONI 80'S.
    SUDI(MCD)...RAFIKI YAKO WA MOSHI,MIGOMIGO(DSM) NINAKUFAGILIA KWA KWENDA MBELE.
    KARIBU USA UTUTEMBELEE.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza kukaanga chips anapiga baba Diana, na Martin Kibosho. Huyo MCD Bona yeye anapiga vigoma na bila yeye sebene la twanga halinogi.

    Ni kweli Nyamwela nae anapatia sana vigoma.

    ReplyDelete
  4. Hahahaha,jamaa amejitahidi sana tu maana zamani alikuwa mcheza shoo mashuhuri kule Moshi-Kilimanjaro na jina lake kamili ni Sudi Mohamed. Alikuwa na rafiki yake aliyejulikana kama Makalikiti hata sijui yupo wapi huyo jamaa. Ilinichukua muda mrefu sana kumjua maana hakuwa hivyo kabisaaaaaaa na hilo jina analotumia sasa ndio lilizidi kufanya nisimtambue nilipokuwa naenda Twanga. Pia ninafikiri hali ya uchumi wa mfuko binafsi si mbaya kwa kweli.
    Hebu niulizie anawakumbuka wale rafiki zake wa Kahe Sekondari kule Moshi? Na kama wapo wako wapi siku hizi? Makalikiti je? Kama yupo naye anafanya nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...