mdau toka ukerewe amerudi bongo katika mchakato wa kusaka bizness. hapa niko nae duka la maarufu la fremu mlimani site kompleksi ambako mmiliki wake mashaka bakari malima ni nduguye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hivi michuzi hauoni aibu na hilo t-shati lako la livapoli, hapo karibu yako yupo oshea john lakini haonekani,hivi livapoli hamtashiriki championi ligi mwakani kwani mtakuwa nafasi ya tano lakini hata mkiwa ya nne hamtashioriki kwani president mpya wa uefa mR platin hataki tena mambo ya supe pawa kupewa nafasi nyingi anataka usawa,Liv 0 Man U 1

    ReplyDelete
  2. Jamani huyu sio Julius Makelemo kweli? Ametoka bomba kinoma.

    ReplyDelete
  3. michudhi tafadhali,naomba picha ya huyo kijana wa kisambaa, john o'shea ili nijue alifanyaje vitu vyake hapo anfield.

    ReplyDelete
  4. Mapendekezo ya rais mpya wa uefa michel platin juu ya kila nchi kuwa na timu 3, bado yapo ktk hatua za awali na yatajadiliwa na kupigiwa kura na endapo yatapitishwa, hayataanza kutumika mpaka msimu wa 2009/10.

    kwa hiyo Liverpool wako salama hata kama watashika nafasi ya 4!

    N.B.
    (M.I.Michuzi, mie sio L/pool mwenzio; ni man U - nilikutabiria kipigo karibu mara 4 kabla ya march 3, na j'mos kabla ya mechi nilikuwekea salaam kuwa hatutawafunga magoli mengi... moja tu!)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...