
wapenzi wote wa twanga wanalaani kitendo cha kutaka kumdharirisha aisha madinda kwa kusambaza picha 'feki' za mtu anaefanana naye kwamba kapiga picha za uchi. leo nimemuona aisha mwenyewe na amenihakkishia kwamba si yeye aliye katika picha hizo chafu. nami baada ya kufanya uchunguzi wa kina nimebaini kwamba kwenye picha ni aisha feki na kwamba dada huyu ambaye ni mnenguaji nyota wa twanga pepeta anapakaziwa tu
Misupu vipi mbona mapicha ya YANGA safari hii umekausha? AU ni mnazi!!!
ReplyDeletewapenzi wanalaani kitendo cha kutaka kumdhalilisha au kuna mtu amemdhalilisha kumpiga picha ya uchi?get straight misupu!
ReplyDeleteUchunguzi gani umeufanya nakukubali kua picture ni feki
ReplyDeletePole sana Aisha,
ReplyDeleteHaya mambo ya kusingiziwa nafikiri inabidi uyakubali tu hasa katika hizi zama za utandawazi ambapo picha unaweza kuibadilisha unavyotaka na kuisambaza duniani nzima kwa sekunde. Na hasa hii inatokea unapokuwa kwenye macho ya wadau na wanajamii.
Nafikri hii inadhihirisha ni jinsi gani ulivyopata mafanikio katika shughuli zako za muziki.Nafikiri utakubaliana nami kuwa katika moja kujulikana hii ndio ni moja wapo ingawa inaonyesha uchafu.
Jambo kubwa ni kujihadhari na hao watu waonaokuzunguka ili wasiweze kutoa mambo yanayotoa picha mbaya kwako na kwa jamii yetu ya kitanzania ambayo mambo kama haya ni aibu kubwa
Safi sana aisha, achana nao hao chapa kazi, hata mimi niliiona kuwa ni feki, Dada Nora wapi nawe?, au
ReplyDeleteMichuzi kumbe na wewe uligundua sio yeye eeee, maana hata mimi uchunguzi wangu uliniambia kuwa sio Aisha madinda Yule. ''Indepth investigation''
ReplyDeleteSasa ukisikia kushadadia jambo ndo hivi Michuzi,yaani umeing'ang'ania sana hii habari.Sasa unasema hao mashabiki sijui wapenzi wa twanga wamelaani hiki kitendo...ndo walivyokwambia?Yaani ni dhahiri unataka kuitumia hii ishu kumpandisha chati huyo dada.Haya bwana!
ReplyDeleteNa kule mlikopigia picha yenye heading 'Mie' ndo ilikuwa kupata background nzuri ya picha au?maana kichakani ati.Aaaahahha ahhaha!
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteNasi wanatwanga wa holland tunalani vikali mijitu hiyo iliomzalilisha dada yetu na kipenzi chetu AISHA. Siku ya jumapili 11/03/2007 kutakuwa na maandamano makubwa ya kulani mijitu hiyo ambayo yataanzia Amsterdam arena 9.00 asubuhi na kumalizikia Groningen station wanatwanga wote mnaobwa muuzulie kwa wingi.
ReplyDeleteMichuzi, hii issue umeishupalia sana sana kuwa wapenzi wa Twanga wamelaani kitendo cha kudhalilishwa Aisha Madinda. Wapenzi gani hao waliolaani hiyo?
ReplyDeletePia, nyi anon mnaoingia kichwa kichwa kuwa mko Holland au wapi na kudai kwamba mnalaani hicho kitendo nawashangaa sana. Issue hapa ni kujiheshimu na kuwa waangalifu sana tunapofanya makubaliano wa wanaume au wanawake. SIku hizi kuna kila aina ya mambo. KUna watu wako tayari kudhalilisha wenzao bila sababu.
Kwa hiyo issue siyo kulaani tu, ila kujiheshimu kadri iwezekanavyo. Hata kama tunashindwa kujizuia lakini angalau tuwe na nidhani kwenye issue ya mahusiano. Hapa bongo tunakwendakwenda tu.
Sina hakika na picha ile ya Aisha Madinda, ila pia inaweza kuwa ni yeye. Nini cha kushangaza au cha ajabu?
Kuna dada mmoja hapa Bongo ambaye ni maarufu sana, picha yake ilipotoka alitaka kujiua!. Sasa hivi yuko under intensive surveillance ya ndugu zake!!.
Tuwe waangalifu sana ndugu zangu watanzania. Tusivamie kila mwanamke au kile mwanaume kwa mapenzi. Wengine wamepoteza mwelekeo wa maisha. Wanataka kupoteza na wengine. Mbaya zaidi ni kudhalilishana kama hivi.
Kuna picha nyingi tu za namna hii. Muda ukifika watu watashangaa zaidi.