prezidaa wa yanga francis kifukwe akimsindikiza kocha micho eapoti tayari kwa safari ya sauzi jana. micho n wachezaji wake nilikuwa nao pale lonji na ndipo nikajua kumbe yanga wengi jamani. unaambiwa karibu eapoti yote magego nje ati 'watoto hao khaaakhaaaaaa'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Ana nywele, wig kama jogoo, au ni background ya mti? akili matope mie.

    ReplyDelete
  2. Kutesa kwa zamu, sasa hivi ni kicheko tu kwetu sisi wana-Jangwani. Ni mambo ya kudunda tu kwa mpira.

    Kwa wana-Yanga tukutane kule kule kwenye ile Blogu yetu.

    ReplyDelete
  3. yanga,simba,hamna kitu...kelele nyingi mpira hakuna.....huko kusindikiza timu airport ni matokeo ya kukosa kazi na uvivu...wote hao kula yao na kuishi mjini hutegemea jasho la wachezaji....badala ya kufanya kazi hadithi ni micho,simbaa,yangaaa....kununua hisa hadi manji sijui dewji awanunulie...watu manenooo utafikiri mpira unachezwa mdomoni.....

    ReplyDelete
  4. Hilo nakubaliana nalo

    halafu walivyo wabishi utafikiri mashabiki wa MANU

    Hivi unajua mpaka ma migration officers na maofisa wakubwa serikalini na akili zao timamu ni mashabiki wa Yanga?


    Unajua mimi hiyo hainiingiii akilini kabisaaa

    watuwazima OVYOOOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  5. Huyu jamaa mgonjwa?

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  7. We mgonjwa wa akili hapo juu. Hivi hujui kama Yanga ndio timu ya Selikali kwa taarifa yako Selikali nzima yanga kasoro Kapuya na Sarungi. Anyway we are the team, We ga' everything, ofcourse we ga' the whole city' name. "DAR YOUNG AFRICANS" na sio Dar Simba SC. Noooo ni "Dar Young Africans FC"" Nyie mlie tu mwaka huu hakatizi mtu Jangwani.

    ReplyDelete
  8. TONY BALIR ANA TIMU ANAYOISHABIKIA, QUEEN PIA. NIJUAVYO MIMI HATA PAPA JOHN PAUL ALIKUWWA MPENZI WA TIMU FULANI. hawa viongozi serikalini si binadamu kama wewe? mi nategemea kuwa kiongozi someday, kuna ubaya nikiwa mpenzi wa Liverpool au Yanga ? MIJITU MINGINE IMEJALIWA UPUMBAVU, OVYOOOO BABAAAKO !

    ReplyDelete
  9. Anony hapo juu akili yako imechanganyika na mavi, nani kakwambia Yanga ni timu ya serikali? Timu kuitwa Dar Young Africans unajua maana yake? Shauri yako kazi yako ilikuwa kukimbia umande kwa taarifa yako hicho kitimu chenu hakifiki popote hasa ukizingatia kocha mwenyewe ana ngoma cheki afya yake ilivyo chafu!!Timu Simba SC bwana Jina kubwa historia baaaaabkubwa!!!

    ReplyDelete
  10. Naungana na anons hapo juu, tasnia ya michezo nchini Tanzania kwa muda mrefu ilikuwa imevamiwa na wavivu, watu wengi miongoni mwao wakiwa si wasomi, hivyo hawakuwa na ajira za uhakika, wazembe, n.k. Hivyo wakageuza klabu za timu zao kuwa ni maskani na kuleta ukomandoo uwanja wa taifa na viwanja vinginevyo. Hiyo pia ndiyo sababu iliyopelekea vurugu, magomvi, majungu na fitna kutawala katika soka letu la Tanzania. Klabuzetu zilikwepa kujiendesha kibiasharakwa sababu watu wengi wangepigwa chini na kwa mfano halisi hicho ndicho chanzo cha makundi kama "Yanga Asili" ya kina Mzimba (Mzee wangu) pale jangwani. Sasa hivi angalau kidooooooogo kuna mabadiliko kimwelekeo kwenye klabu zetu, kwa mfano ni hao Yanga kuanzisha kampuni ambayo itaendeshwa pamoja na mambo mengine kwa kuuzwa hisa (japokuwa nina wasiwasi na utaratibu wa manji kuwanunulia hisa wanayanga badala ya wao kujinunulia wenyewe.)Mwisho napenda kutoa maoni yafuatayo: Mosi, kuna haja kabisa ya kufanya mpira kuwa ni biashara na tuanze kuendesha klabu zetu kibiashara ili tuweze kutoa ajira za kweli kwa kundi kubwa la Watanzania. Pili, tuache mchezo wa kuzifanya klabu zetu (majengo) maskani za kunywea kahawa na badala yake viwe ni vitega uchumi na mabweni kwa ajili ya wachezaji na shughuli za kiutawala kwa klabu kwa ujumla.

    Natoa hoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...