watu wa dumila wanajidai sana na taifa staaz yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MICHUZI STARZ HAWANA MAMBO HAYO, NA HATA KAMA WAKINUNULIWA BASI WATARIHARIBU ILI WAENDELEE KUKODI, MAANA KUNA TENI PASENTI, MGAO WA WACHEZAJI WENYEWE UNAPIGWA PANGA NA VIONGOZI SIJUI SASA, MAANA ZAMANI MCHEZAJI ANAONA BORA AKACHEZE MECHI YA SIMBA NA YANGA KULIKO TAIFA SABABU ANAPATA PESA KIDOGO TOKA KWA WAHIDI NA WASHABIKI

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. mamaaaaaaaaaaaa!kocha wao osama bin laden.mh hiyo timu balaaa.BY MANYUNYU

    ReplyDelete
  4. We Anon wa kwanza kama hujui sasa hali ilivyo si ufunge bakuli lako,unachonga tu!?!Hata ukisoma magazeti ktk internet utaona timu yetu ya taifa inavyosaminiwa siku hizi.Kwani hujaona picha za timu ilipokuwa Brazil ktk gazeti la Majira?Ujijengee tabia ya kuji update sio kutapika pumba tu!Kwa taarifa yako benki ya NMB wameingia contract na TFF(labda wewe bado unadhani inaitwa FAT)kununua basi la kisasa kabisa kwa ajili ya taifa staz!Huenda likawa zuri kuliko hilo.Isitoshe hilo basi unaloliona hapo si la timu ya taifa ya Dumilla,ni matangazo tu.Nchi nyingi tu wanafanya hivyo,hata kwa vilabu (achilia mbali timu za Taifa).Usiropoke vitu Anon,jenga tabia ya kuji update hata kama uko mbinguni!

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. We anonymous 09,2007 8:34 am,najua ninacho chonga kwa taarifa yako juzi tu nilikuwa Bongo kwani timu kwenda Brazil umeona Issue, inaweza kwenda na ikawa kichwa vilevile, kilichozungumziwa hapo ni maslahi ya wachezaji na si timu kwenda brazil, na ninajua ni matangazo tu, najua vilevile kuwa ni timu ya taifa ya Dubai,mimi ninaji update kila siku najua nje na ndani sio mtu wa kusoma gazeti nikakubali tu naangalia ukweli wenyewe au nikaona picha ya wachezaji kwenye gazeti wanashuka toka brazil nikubali tu sasa Taifa Staz ngangali, kimsingi hata timu ikienda wapi na iwe na wachezaji wazuri namna gani bila viongozi wazuri wa kujali maslahi ya wachezaji na sio wao, haifiki popote hata iwe brazil,wewe hujui kitu chochote tena nadhani sio mwanamichezo wewe,kama ungekuwa mwanamichezo usingeandika uharo hapo juu,mimi napenda utaifa wangu na naipenda timu yangu ya Taifa hata ikiwa kichwa lakini naifagilia lakini kwenye ukweli nasema sio mtu wa kukubali kijinga timu bila kuwa na viongozi wanao jua soka na kujali maslahi ya wanao letea sifa taifa kwa tamaa yao unategemea nini au wewe mmoja wao

    ReplyDelete
  7. sasa hivi viongozi wanajitahidi kiaina ingawa tunasubiri matokeo maana ni mwanzo tu huu

    ReplyDelete
  8. Acha ubishi wa ligi wewe anon wa kwanza!maslahi yapi sasa unayosema?au unataka walipwe kama timu ya taifa ya uingereza ndio uone ni maslahi?Viongozi kwa sasa wanajali na wanajitahidi,sio kupiga makelele tu!wapongezwe na kutakiwa kuongeza juhudi.Ungekuwa unafatilia ungejua kuwa kwa udhamini wa NMB kuna basi zuri tu linakuja.Tuone kama watariharibu kama unavyodai.We mwenyewe umeandika hapo kuwa hujui sasa hali ikoje,sasa una ji update na nini kama umekiri kuwa hujui sasa?
    Ungekuwa unafatilia ungesikia kila siku wachezaji wanajipigia debe kocha awaite taifa staz!Usitafute sifa kwa kulazimisha.Taja basi wewe unaodhani ni viongozi bora,au toa solution basi ya hayo unayoita matatizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...