
aisha madinda anapiga picha nami usiku huu kukanusha kwamba si yeye aliye kwenye picha zilizotapakaa kwenye email za watu dunia nzima kumuonesha akiwa uchi. ananambia kwamba hao ama huyo ni mtu anayeonea donge maendeleo yako na kamwe hajawahi kupiga picha za namna hiyo ila kuna mtu kafanana naye anayeshirikiana na wasopeda maendeleo yake kumpakazia...
Hapo ngumu kuhukumu afadhali angelala kama yule akavaa hata nguo nyepesi tunaweza sema sio yeye kafanana nae tu..ngumu kuhukumu picha ya uchi na picha isio ya uchi..nadhani umenipata dada madinda!!
ReplyDeletePole sana kwa kuchafuliwa jina lako dada etu. Kimsingi tunafurahi sana kuona umejitokeza na kukanusha. Nakupongeza kwa hilo. Swali kwa Misupu, "Hivi umeoa lakini?" hala hala bwana mama wanao! hata jali kwamba uliishia tu kupiga picha na huyo binti mzuri. Maana nakumbuka ulivyo kuwa likizo kule znj ulijihami sana dhidi ya waosha midomo.
ReplyDeletemkuu mbona umeibebea sana bango issue ya Aisha Madinda au kuna kitu umeahidiwa?
ReplyDeletekuhusu mtindo wa nywele kuwa amekaa nao miaka miwili sio kweli mie naudhuria sana show za Twanga na kila mara uwa namuona anakuja na mtindo tofauti hiyo nakataa katakata labda ajitetee kivingine ingawa hata mie nakipinga kitendo cha watu kusambaza picha mbaya kwa lengo la kumchafulia jina mtu, ni tabia mbaya na mhusika akikamatwa achukuliwe hatua kali sana za kisheria
Hizi Picha Michuzi nimeziona.Haya ndio matumizi hasi ya teknolojia ya simu za mikononi.Serikali ya mtaa ya hapa imeanzisha kampeni ya kupiga vita matumizi hasi ya simu za mikononi na kuzisambaza kama hizo.
ReplyDeleteGazeti moja mla hapa hivi majuzi liliandika hivi..."Msichana mrembo akiwa katika kavaa sketi yake fupi(kimini) anapita katika kituo cha reli kijana mmoja akiwa na simu yake ya mkononi anampiga picha za sehemu zake za ndani kutokea chini ya treni.Katibu Muhtasi wa ofisi moja ya hapa akiwa ofisini kwake kwa bahati mbaya anakaa vibaya kwenye kiti chake baadhi ya sehemu zake za ndani kuonekana mgeni aliyekuwa anamuulizi jambo fulani kuhusu ofisi ile anampiga picha kwa kutumia simu yake ya mkononi,mwanamama anainama kuokota nyanya zake sokoni..."
Hivi ni baadhi ya visa vya hii teknolojia ya simu za mkononi ziinavyotumika ndivyo sivyo na wakazi wa hapa ambavyo vimepelekea kupigiwa kelele sana na hasa wanawake.
Pole Aisha.
Wala asiwe na hofu kwani ukiiangalia ile picha utagundua mara moja yule dada sio Aisha Madinda kwani kajaza sana kupita Aisha. Yule dada kwenye picha kajaza kwelikweli sio mchezo!
ReplyDeleteVilevile,inasemekana kuwa huyo dada ameshatoka na kusema ni yeye na si Aisha kwenye ile picha - wanaosoma magazeti ya udaku wanaweza kujua kwani nasikia ndiko alikosemea humo.
Aisha, wewe endelea tu kupinda mugongo na Twanga Pepeta - yule kwenye picha ile sio wewe, wengi tunajua hilo.
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteKeep cool Aisha, kama sio wewe usipanick. Sijaona picha hizi. Hata kama ni sura yako usiogope. Kwani wadau hamjaona picha za Bush au Clinton wakiwa uchi? Watu wanatumia photoshop kubandika sura ya mtu kwa kiwiliwili cha mwingine. Kwa hiyo next time hata zikisambaa zenye sura yako usiogope, yana mwisho.
ReplyDeleteKWELI KABISA MI NAKUBALIANA NA ANON HAPO JUU. UKIMUANGALIA AISHA KATIKA PICHA HII NA BOS WAKE AU MICHUZI UTAONA TOFAUTI KUBWA SANAAA NA PICHA ILE YA UCHI. KWANI ILE PICHA DEMU KAJAZIA SANAA NA ANA VERY FLAT STOMACH WAKATI UKIMWANGALIA AISHA HAPO ANA KATUMBO FULANI HIVI KAKISHIKAJI ,.... SO SIO KWELI YULE NI AISHA LABDA ZAMANI TOFAUTI NA PICHA HII YA SASA.
ReplyDeleteKAMA NI KWELI, WADADA WA BONGO NA KOKOTE DUNIANI MUWE MAKINI NA KUKUBALI KUCHUKULIWA PICHA ZENU NA MIJITU ISIYO NA ADABU. NA HASWA UKIJUA UKO KATIKA UTUPU....
Michuzi kaka siunamke wewe, sasa uomkono kiunoni ni vipi?.
ReplyDeleteKama alivyokuuliza anony mmoja hapo juu,mbona umeishikia bango sana hii ishu Michuzi??Maana huu ukanushaji haulingani na ishu yanyewe jamani,nikihesabu picha hapa ndo usiseme.
ReplyDeleteKuna anony wa mwisho amesema kweli,iko wazi sio Aisha kwenye picha. Maana hata kufanana sio,yule wa kwenye picha mzuri jamani...hahaha ahhaha,japo tabia aliyofanya ni mbaya.
Haya Michuzi tumekusikia kuhusu hili inatosha sasa.Tunaomba picha za mechi ya yanga au za bwawa la maini...ahahaha ahhahah!
Shukrani.
wewe Anon wa 9:25:00 Kujaza kwenye picha sio kigezo kabisa inategemea picha imepigwa vipi..wewe mwenyewe unaweza kupigwa picha ukatoka chembemba au kinene inategemea picha imepigwaje hicho sio kigezo kabisa..kisha kusema nywele sio zake sijui alikua na nywele aina hizi toka miaka miwili sio kigezo maana ile picha haijaandikwa tarahe hujui imepigwa lini..mwaka gani..kuweni makini huwezi kusema ndio au sio kwa kigezo na hizi picha hapa
ReplyDeleteJamani hilo gazeti gani tujionee au halipatikani kirahisi. Na kwanini wamuonee yeye?na huo mkono wa Michuzi mimi mbona unanitia wasi wasi?
ReplyDeletepole dada yangu aisha ni mijitu ambayo haipendi maendeleo yako ndio inayokuchafulia jina lako na sifa zako lkn watu wote tumepinga kuwa sio picha yako kwana mwanamke mwenyewe anamihipsi kama vw bittle wala sio wewe.
ReplyDeletehey hey hey jamani thnx got this chance well mimi nilipopata hile picha i was shocked cz i luv da dada mambo ya mgongo anh nilienda sana tuu ila nilibishana sana na watu since Aisha hana matiti makubwa vile hata ile sura ukicheck sana si yeye wasikuzingue yule sio wewe kabisaaaaaaaa
ReplyDeleteOK SAWA SI AISHA, NA ZILE ZA NORA NI NORA AU SI NORA PIA???
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteEGIDIO NDABAGOYE! MWAKAYE SE ULIMO, UVUGA MAKI MTAMA, MIMI NIKO MAREKANI VIPI UMUHILA NI KIBONDO AMA IKASULO? JEWE INVA IMARUMBA IKASULO NDICHALA AHA MAREKANI NABHAZUNGU.NTABWOBHA LICHAKA NADHANI ULADYA ABHANDI CHANE IYO INDIA.BHATASHE BHOSE IYO INDIA. RUZARUNIYA KALAMUVYUKIYE
ReplyDeleteAcheni bwana,watu tunamjua Aisha toka enzi za Bilbums,ile picha ya uchi si yake kabisa.watu wanamharibia jina tu!Halafu nyie mnaobishia style ya nywele,mnajua nywele zipi zimeongelewa hapo?au hata picha yenyewe hamjaiona?sio mnabisha tu,eti style anabadilisha kila siku ktk show za twanga!?!mnajua nywele gani zinasemwa?
ReplyDeleteWe Anon wa March 6, 2007 11;08 unapenda kuendeleza libeneke, Mtu awezikubisha bila ya kuona picha watakuwa wameona , usijidai unamwamini sana Aisha.
ReplyDeleteHizi camera za high pixel zinadhalilisha sana...Hata utumie mkorogo kidogo kiasi gani unaonekana kabisa. Huyu mwanadada ni mweupe naturally likini usoni sijui ni acne medication au ni mkorogo wa asili...unaona tofauti ya ngozi yake. Keep your natural color dada.
ReplyDelete