waziri mkuu wa lesotho pakalitha mosisili akiwasili dar ambako alipokewa na waziri wa kazi, ajira na maendeleo ya vijana kepteni john chiligati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi naomba msaada wako hii wizara ya Chiligati ndio wizara gani, Maana hapo umeandika ''wizara ya chiligati''. hebu lete ufafanuzi inashughulikia nini hasa?

    ReplyDelete
  2. nikikujibu hapo juu nafikiri michuzi alikosea badala ya waziri chiligati kaandika waziri wa chiligati,

    John Chiligati: WAZIRI wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana,

    ReplyDelete
  3. waziri mkuu kavaa 4 button suit sijui hana watu kumsaidia na style...za mapimp hizo,just my opi nion najua wadau mtaleta za kuleta

    ReplyDelete
  4. Eti unamsagia waziri mkuu kavaa 4 button! Mwenzio akiingia kwenye gari anafunguliwa mlango na kupigiwa saluti. Tofauti na wewe unayevaa vizuri na kujitwika mabox na kuchamba vizee na hakuna wa kukufungulia mlango wala kukupigia saluti.

    Kwanza nikuulize babaako ana suti kama hiyo?

    ReplyDelete
  5. ...wewe ngamia hapo ...nani kakuambia mie nabeba box na hata kama nabeba si kazi tuu,na kuna uhusiano gani kati ya style ya suit na kufunguliwa mlango na unaonekana una hasira sana na jamaa wa unyamwezini sijui ulikosa visa? ...anyway tuliza hapo hapo ule moto wa hapo bongo huku huji ng'oooooo utabaki kupasikia bombani tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...