leo nimeutembelea tena ule mstimu wetu kule tmk stirio na kukuta bado uko wima, ingawa fundi viatu wa jirani na hapo kanambia kuna mijamaa ilionekana majuzi ikipimapima kuashiria kwamba meseji risivdi..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. apo katikati mringoti uliopo au maua poatu si Bongo , Chamsingi tumezuia vumbi

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    mimi bado siamini kuwa hapo ni bongo kweli.

    Hivi kweli Ma-engineer wa hapo nyumbani wanaweza ruhusu kitu kama hiki kiendelee hadi kufikia level hii??? siamini.

    mimi naomba siku urudi tena hapo mahali na upige picha ya kitu ambacho kitadhihirisha kuwa hapo ni TZ. either number plate ya gari ya bongo au wewe mwenyewe usimame hapo (angalia magari lakini)

    This is crazy kabisa, kama ni kweli bongo tunaruhusu kitu kama hiki kutokea. in this case JK alikuwa Right aliposema tunahitaji msaada wa wataalam wa kutusaidia.
    inasikitisha sana

    ReplyDelete
  3. hii kweli jamani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...