Home
Unlabelled
lishe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
pananikumbusha mambo mengi sana ya chuo hapo na bidii za kina mama lishe kugombea watu na kuwapa viti vya kukaa.Anyway misosi ilikuwa imetulia na hakukuwa na haja ya kwenda sheraton,manzese au daruso.Namkumbuka dada mmoja alikuwa anaitwa Ester,alikuwa na wali samaki bomba sana
ReplyDeleteMichuzi sasa utaharibu raha ya blog yaani kutaja kuna kunguru tu hurushi hewani basi ipo kazi. Ila nakusifu kwa kusoma Msg zote kabla ya kuzirusha, nitafute nikupe software ya kuditect maneno kama, kunguru, shenzi n.k... ilikukupunguzia kazi. Hata na hii usiirushe inakulenga wewe binanfsi
ReplyDeleteHapo Mama lishe sio siri palikuwa panatutoa wengi japo wakati mwingine kidogo manzi walikuwa wanaharibu apetite. Walithamini hela ya mtu si kama Daruso au sheraton unanunua huku umekunjiwa sura hata chakula hakina ladha tena. Halafu wakati mwingine wahudumu ni wachafu hadi basi! Eni wei lakini hatimaye myaka minne ya UD ilimalizika.
ReplyDeleteVipi masuala ya academic yanatiliwa umuhimu au ndo mwendo wa kuelekea kwenye high school education?????
ReplyDeletendo maana mlosoma mlimani kichwani hamna kitu hata english hamjui kazi kukariri vitabu pambaf
ReplyDelete