na hii ya wanenguaji wa twanga wakipepeta staili ya mugongomugongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. jamani mbona hawa wanaume wanaupendeleo?wote wamemfuata mtu mmoja,ananini huyo?mbona huyu mmemuacha peke yake?au kiunohakizunguki?

    ReplyDelete
  2. he!huyu jamaa mwenye shati vipi?mzuka umempanda?hapo alipo amesharoesha suruali,tena wakichelewa kumtoa tu dada wawatu ataliwa kisamvu hazarani.

    ReplyDelete
  3. hahahha!jamani bongo kuna mambo!lol!hi picha imenichekesha sana.Keep it up Michuzi kutuburudisha na mambo mbalimbali.Naipenda sana hii blogu yaani kila siku lazima niisome.

    ReplyDelete
  4. hii inashadadia sana NGONO naona ipigwe marufuku na watafute stile nyingine,MISUPU Unasemaje?

    ReplyDelete
  5. hii style ukitaka kujua utamu wake umpate binti wa kitanga aliyefundwa,unahonga nyumba.

    ReplyDelete
  6. We anon uliyesema binti wa kitanga, nakuunga mkono kabisa! Unaweza honga kila kitu kwa kweli. Tanga balaa sana!

    ReplyDelete
  7. NINACHEKAA NA KUVUNJA MBAVU KWA HII PICHA,MICHUZI KWELI KAZI YAKO INAVUTIA NA KUFANYA KILA BAADA YA SAA MOJA KUCHECK BLOG YAKO KUPITIA CELLULAR YANGU.

    ReplyDelete
  8. Sasa hapo umkute Aisha Madinda anapinda mugongo,au Lilian Internet,we!unaweza ukagombana na mwenzi wako muliyeenda nae!

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  10. Hii sio mugongo mugongo, yenyewe huwa hawapigi magoti, wanajipinda kuanzia kiunoni au wanainama kisha wanachezesha nyonga na mgongo sio kukata kiuno na wala hawatumii nguvu bali taratiiiiiiiiiibu we acha tu

    ReplyDelete
  11. hivi hawa wanenguaji wana baba zao na mama zao hai au ni watoto wa mitaani?.Kama pesa yenyewe ni hdi kwa stahili kama hizo naomba ruhusa wanablog niende kulima kijijini mjini maisha yamenishinda.

    ReplyDelete
  12. Watoto wa kike wa kiislamu wakiwa wametupa hijabu ili watwange na kupepeta.Waislamu nao wamo siku hizi hawataki kubaki nyuma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...