kuna wadau wameomba niibandike upya picha hii ya jide na bi kidude...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. jamani nisaidieni,jd anaumri gani?mbona analingana na bi kidude?

    ReplyDelete
  2. bi kidude,ni kidude gani alikuwa nacho?

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. jide taja umri wako watu wajue unaficha nini?kama kukomaa ushakomaa na lazima tu utakuwa kama huyo bibi yetu,msanii bora huwa mkweli na muwazi sikuzote

    ReplyDelete
  5. kama mapacha vile.Wamefanana sana

    ReplyDelete
  6. Hiyo ni taswira ya Jide atakapozeeka.naamini huyo si bi kidude bali ni Jide atakayena umri huo.

    Jide "Utigatana"hili ni neno ka kiikizu ambapo Jie ni mwikizu

    ReplyDelete
  7. JIDE is more "HANDSOME" than BI KIDUDE JUST ON PHOTO.And HE is very talented on revolutionised R&B.

    ReplyDelete
  8. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  9. Jide sio mzee jamani ni mdogo sana labda miaka 28 au 27... sema ana sura nzito na yenye majonzi ndio maana anaonekana mzee... halafu pia hajajijulia how to look....huwa anavaa vituko hadi nashindwa kumtetea!!! lakini sio mbaya hivyo kama watu wanavodai...

    ReplyDelete
  10. BEFORE AND AFTER.

    ReplyDelete
  11. MH R THEY SINGLE?I LOVE THEM!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. Hawa ni mtu na mama yake? Wamefanana.

    ReplyDelete
  13. Is she pregnant (JIDE)? She looks..Naskia anamsaka mtoto kwa udi na uvumba kwa doctor flani pale upanga

    ReplyDelete
  14. Jamani acheni kumkandia Jide wa watu hata hafanani na Bi kidude,tuachieni na Jide wetu,nyie mnaomkandia sikazi Bi kidude kawazidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...