nimebahatika kutembea huku na kule, lakini bado sijaona nyumba njema kama ya mwalimu ambayo alijengewa na jeshi na hakuifaidi. uzuri wake nyumba hii imejengwa bila kuvuruga mazingira yake halisi na kila jabali liliachwa kama lilivyo wakati yenyewe imejengwa kwa mawe yaliyoizunguka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uzuri wa hii nyumba na mazingira yake ulitokana na Mwalimu mwenyewe kusimamia kidete mazingira yasiharibiwe!
    Kulingana na maelezo ya Mwalimu mwenyewe, msanifu mmoja ali-chemsha kwa kuanza kung'oa mawe na Mwalimu alipopata habari alimtimua na kutafuta msanifu mwingine kwa masharti ya kutogusa hiyo miamba.

    FACTS:
    -Mwalimu alikuwa mwanamazingira!!!!
    -Alijali na kutumia local bulding materials badala ya kuwa mtumwa wa kutumia vya kutoka nje ya nchi wakati materials imejaa pale Butiama!
    -Mwalimu was MORE than a mere politian, kama hawa tunaowaona siku hizi!

    HAPPY BIRTHDAY MWALIMU -13th APRIL.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...