watoto hupenda kutembelea kwa mwalimu kijijini mwitongo kufaidi sio tu mandhari nzuri iliyopo bali pia ukarimu wa familia ya mwalimu ambapo nyumba yake hiyo ni kama ya kila mtu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka Michu aka Misupu ya kumbikumbi. Mie sishangazwi na ukarimu wa hiyo familia ya JK- Nyerere, kwani kama Mtoto wa nyoka ni nyoka kwanini mtoto wa mkarimu asiwe makarimu?!
    All da best to Baba wataifa's family. We love you.

    ReplyDelete
  2. Nilimpenda sana Baba yetu wa Taifa.
    Alitupenda watanzania pia, basi tu ukiwa kiongozi kuna mengi. Hivyo ukarimu wa familia yake utaendelea kudumu maana uko kwenye damu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...