hili sijui nitalibebaje. na mama mwenye nyumba ataniruhusu niingie nalo kule kwetu uswazi....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Michu hiyo luninga ukijanayo huku dar naona kama unanunua bastola ya kujimaliza mwenyewe na hii mijambazi yenye uchu iliyojaa hapa dar.

    ReplyDelete
  2. Asipokurushu, nitajuhifadhia kwangu mpaka akukubalie..............si unajua kwangu kilimani road.....nikupokee lini na wapi?

    ReplyDelete
  3. Ndugu yangu hapo hesabu maumivu yaani kama linathamani ya £2000, ujue mama mwenye nyumba atakuambia ulilipie kodi ya kuliingiza nyumbani kwake £4000, sasa bora ulizie huko huko upate uchache wako urudi nao mfukoni.

    ReplyDelete
  4. lol,I got a 60" wega,and I thought mine was big!

    ReplyDelete
  5. duh michu hiyo ni kiboko lakini kiulaya ulaya poa tu kawaida ili kibongo bongo tunakuzika punde tu utakaposhuka nayo.

    ReplyDelete
  6. Michuzi haya ya luninga tuache.Huyo dada hapo nyuma mko pamoja? au ndio una kajumba kako kadogo cheupe mwenzetu?

    ReplyDelete
  7. Misupu ilete kule kwangu ndani ya msitu wa Shengena nikuifadhie mpaka utakaporudi !!

    ReplyDelete
  8. Kaka Michuzi hiyo ngoma nzito na inakwenda kwa jina la Monster Panasonic Flat panel Tv, Bei yake ni $70,000 sasa hiyo mzee si ni kaburi?Hiyo pesa si bora uwapatie wana kijiji umeme??

    ReplyDelete
  9. michu ukisha kujana hiyo luninga hapa bongo vile vile usisahau kununua sanda yako kabisa na ukawahi kiwanja kama ni u/taifa. kisutu au makaburi ya kinondoni kwani utakuwa hauna muda mrefu hapa dunia kama si majambazi basi wachawi wanakunyemelea.

    ReplyDelete
  10. Jamani, yaano nyote hamjafahamu kuwamba michuzi anaongeza mke wa pili na ndo asalimwezi hiyo....

    poa wangu

    ReplyDelete
  11. Hey huko inaweza kuwa bei rahisi. USA ni $70000 and up lakini si unajua tena. Kila kitu huku ni shurti kwa tax na goodwill vile sasa huko mwenzetu anaweza akalimudu hili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...