leo nimepita kwa bitebo pale migomigo lango la jiji kufanya ritachi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Angalia hiyo mashine ndugu imechemshwa?

    ReplyDelete
  2. michuzi naona umetuliaa huku bitebo anakupiga kipara,
    hahahaha

    ReplyDelete
  3. kumbe michuzi unapenda kupigwa vipara? lol

    ReplyDelete
  4. Hey mbona hair stylist wako kanuna hivyo? Humpagi Tip nini? Mkatie kitu kikubwa basi. Yaani kama analazimishwa kukukata hizo nywele vile.

    I feel for him

    ReplyDelete
  5. Misupu! Umepiga tako.
    Tako linakupendeza. Keep it

    ReplyDelete
  6. duh michuzi hiyo mashine ni ya kwako ama umeikuta hapo? angalia ngoma kaka yangu mambo siku hizi yamebadilika !!

    ReplyDelete
  7. mzee hiyo machine ni ni Euro kama 20 tu, sasa sijui kwanini usiichemkie ukaepa mambo ya maambukizi.

    ReplyDelete
  8. MIchuzi unanyolewa bure halafu wengine unatuingiza mkenge kwa kumtangazia jamaaa biashara. LAkini jamaaa anaonekana yuko makini na kazi yake. Sasa michuzi unakuwa na vipara vingapi?

    ReplyDelete
  9. Jamaa ana uhusiano na mchezaji nguli wa zamani toka Pamba ya Mwanza?? "Halid Bitebo"" ilikuwa mashine akisindikizwa na Jolam Mwakatika na nduguye Isac? Kumbuka ile Michu??

    ReplyDelete
  10. mpiga kipara mwenyewe nywele ka mtandao wa buibui, atakupendezesha vipi wewe?

    ReplyDelete
  11. Uache UDWANZI MICHUZI...nunua mashine yako kama unapenda kunyoa vipara kama 2pac vinginevyo ni maambukizi kwa kwenda mbele, man use ur COMMON SENSE!!TAKE CARE

    ReplyDelete
  12. unajua BITEBO alikuwa anafunga saluni kuangalia MPIRA na wateja hilo wanalijua siku ya mechi basi hakuna mambo ya kunyoana mpaka game iishe

    na mwenyewe anakwambia mpenzi wa mpira huwa hanyoi nywele mpaka game iishe

    jamaa ni mtu safi sana, na zaidi ya hayo Bitebo hebu naomba unifikishie sala kwa wafuatao:
    ALI MBELEA
    BABLII
    BABU MTAMA MCHUNGU (kama yuko hai)
    AKILI
    MSAFIRI
    Bila kumsahau JAMALI ambaye nilisikia yuko UK alkini sina hakika

    kwa eo ni hayo tuuu

    ReplyDelete
  13. JAMANI MNAJUAJE HIYO NI MACHINE YAKE LAKINI AMEENDA NAYO KUNYOLEWA. YAANI NYIE NDIO MNAJIFANYA MNAJUA SANA. KWANI YEYE HAJUI?

    ReplyDelete
  14. Tarehe Saturday, March 31, 2007 3:04:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Anonymous hapo Juu umetaja majina hapo inabidi na mie salamu zangu ziwafikie pia chama langu.Bitebo hebu nipe details.
    BABLII naye yupo kwenye hiyo Saluni?
    Mzee "Kiemba Usungu" au "Mtama Mchungu" ukitaka kugombana naye mwite "Amrani"
    Jamali ni yule Mwarabu? Yupo UK?
    "NOTI" naye yupo wapi?
    Haruna naye yupo wapi?
    "Abdalla Kuku"
    Chama lote la Les Leorpard.

    ReplyDelete
  15. Ndio Michu naona umeamua kupiga upara msalimie sana Alhaji Bitebo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...