Home
Unlabelled
ritachi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Angalia hiyo mashine ndugu imechemshwa?
ReplyDeletemichuzi naona umetuliaa huku bitebo anakupiga kipara,
ReplyDeletehahahaha
kumbe michuzi unapenda kupigwa vipara? lol
ReplyDeleteHey mbona hair stylist wako kanuna hivyo? Humpagi Tip nini? Mkatie kitu kikubwa basi. Yaani kama analazimishwa kukukata hizo nywele vile.
ReplyDeleteI feel for him
Misupu! Umepiga tako.
ReplyDeleteTako linakupendeza. Keep it
duh michuzi hiyo mashine ni ya kwako ama umeikuta hapo? angalia ngoma kaka yangu mambo siku hizi yamebadilika !!
ReplyDeletemzee hiyo machine ni ni Euro kama 20 tu, sasa sijui kwanini usiichemkie ukaepa mambo ya maambukizi.
ReplyDeleteMIchuzi unanyolewa bure halafu wengine unatuingiza mkenge kwa kumtangazia jamaaa biashara. LAkini jamaaa anaonekana yuko makini na kazi yake. Sasa michuzi unakuwa na vipara vingapi?
ReplyDeleteJamaa ana uhusiano na mchezaji nguli wa zamani toka Pamba ya Mwanza?? "Halid Bitebo"" ilikuwa mashine akisindikizwa na Jolam Mwakatika na nduguye Isac? Kumbuka ile Michu??
ReplyDeletempiga kipara mwenyewe nywele ka mtandao wa buibui, atakupendezesha vipi wewe?
ReplyDeleteUache UDWANZI MICHUZI...nunua mashine yako kama unapenda kunyoa vipara kama 2pac vinginevyo ni maambukizi kwa kwenda mbele, man use ur COMMON SENSE!!TAKE CARE
ReplyDeleteunajua BITEBO alikuwa anafunga saluni kuangalia MPIRA na wateja hilo wanalijua siku ya mechi basi hakuna mambo ya kunyoana mpaka game iishe
ReplyDeletena mwenyewe anakwambia mpenzi wa mpira huwa hanyoi nywele mpaka game iishe
jamaa ni mtu safi sana, na zaidi ya hayo Bitebo hebu naomba unifikishie sala kwa wafuatao:
ALI MBELEA
BABLII
BABU MTAMA MCHUNGU (kama yuko hai)
AKILI
MSAFIRI
Bila kumsahau JAMALI ambaye nilisikia yuko UK alkini sina hakika
kwa eo ni hayo tuuu
JAMANI MNAJUAJE HIYO NI MACHINE YAKE LAKINI AMEENDA NAYO KUNYOLEWA. YAANI NYIE NDIO MNAJIFANYA MNAJUA SANA. KWANI YEYE HAJUI?
ReplyDeleteTarehe Saturday, March 31, 2007 3:04:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteAnonymous hapo Juu umetaja majina hapo inabidi na mie salamu zangu ziwafikie pia chama langu.Bitebo hebu nipe details.
BABLII naye yupo kwenye hiyo Saluni?
Mzee "Kiemba Usungu" au "Mtama Mchungu" ukitaka kugombana naye mwite "Amrani"
Jamali ni yule Mwarabu? Yupo UK?
"NOTI" naye yupo wapi?
Haruna naye yupo wapi?
"Abdalla Kuku"
Chama lote la Les Leorpard.
Ndio Michu naona umeamua kupiga upara msalimie sana Alhaji Bitebo.
ReplyDelete