Home
Unlabelled
sheraton
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nice shot... inanikumbusha chakula cha mchana na parachichi....nimehudumiwa sana hapo na "mwenzangu" wa karibu sana...
ReplyDeleteHello Michuzi,
ReplyDeleteUkibahatika kurudi tena chuo tafadhali tuletee picha ya REV SQUARE. Hapo pananikumbusha enzi za migomo ya chuo, mara nyingi viongozi waoga walikuwa hawawezi kupata na kuhutubia kwa kuogopa maswali ya raia.
All the best!
Kiju!
Nyie mnakumbukia misosi tu... Mie nauliza, PUNCH bado anawika? Blackmpingo
ReplyDeletewewe unayetaka picha ya Rev Square unaonekana hata hujui rev ilipo, kwani hujui kama Rev Suare ni mbele ya Hapo sheraton, tulikuwa tunasimama hapo chini na juu karibu na barabara ndiyo wanasimama viongozi kama tukitaka kugoma hasa pesa zikiwa hazijakaa sawa? we unataka kumsumbua michuzi tu kwa kitu ambacho hata hukikumbuki
ReplyDeleteMZEE PUNCH aliisha disco siku nyingi. alikuwa alianza kusaidia jamaa wanaotolewa nje na mademu kwa kuwadhalilisha badala ya kuwa mtambo wa kurekebisha tabia.
ReplyDeleteMichuzi next time hebu uliizia mtu anaitwa MAWAZO utuwekee picha yake anapenda sana hapo sheraton yupo?. yeye rafiki zake ni wasichana warembo wa chuo anawapenda sana. Huyu jamaa angekuwa dent kishapata PhD hata 3 kwa muda aliokaa UDSM ni mtu pekee wa siku nyingi hapo sheraton
MZEE PUNCH aliisha disco siku nyingi. alikuwa alianza kusaidia jamaa wanaotolewa nje na mademu kwa kuwadhalilisha badala ya kuwa mtambo wa kurekebisha tabia.
ReplyDeleteMichuzi next time hebu uliizia mtu anaitwa MAWAZO utuwekee picha yake anapenda sana hapo sheraton yupo?. yeye rafiki zake ni wasichana warembo wa chuo anawapenda sana. Huyu jamaa angekuwa dent kishapata PhD hata 3 kwa muda aliokaa UDSM ni mtu pekee wa siku nyingi hapo sheraton
wanafunzi wengi wanaomaliza chuo ni wajinga sana maana hata kiingereza hawajui kabisa sijui mnasoma nini? aibuuuu kweli kweli wazee ndio maana hata simple paper hamuwezi kuandika kazi yenu ni politics tuu za kudai pesa ya chakula ambayo wengi wenu mmekosa degree kwa ajiri ya upuuzi kama uo wa kujifanya migomo isiyowasaidia chochote...na huyo punch ni one of the lowest point ya hicho chuo mana society kama ya UD haitakiwi kuwa na majungu majungu ya kishenzi lakini ukiona mianafunzi inavyoshangilia utadhani sijui mitoto ya primary school
ReplyDeleteChuo namba moja cha nchi ya TANZANIA. Wanafunzi wake wengi hawajui hata kiingereza vizuri. Wana uwezo mdogo hata makazini. Wanasoma ktk mazingira magumu lishe duni, malazi matatizo, madawati tabu hadi wanafunzi wanakaa chini wakati fulani n.k. Hapo ndipo walipotoka viongozi wetu Kikwete na Lowassa. Wanaongoza nchi sasa na uwezo wao na staili yao ya uongozi ndio kama tunavyoona sasa. Ni hatari kwa nchi kama chuo hicho hakitachukuliwa kama taasisi nyeti sana ya nchi. UDSM, UDSM, UDSM!
ReplyDeleteNI KWELI KABISA , WANAOMALIZA CHUO KIKUU WENGI WAJINGA TU NA HAWAJUI MAISHA YAKOJE, KABISA HATA KIINGEREZA HAWAJUI KUONGEA VIZURI.
ReplyDeleteNA WANASOMA TU SIJUI NINI, PAMOJA NA USOMI WAO WOTE, AKILI TIMAMU ZA KUJITUNZA HAWANA. KAZI KUTOKA MPAKA NA WAUME ZA WATU, NI FOLENI HAPA MKIJA JIONI NA WAKATI WA WEEKEND. WASICHANA WAZURI LAKINI MBUMBUMBU MPAKA BEN MLOKOZI ANAOPOA,
Mbona nchi nyingi na zilizoendelea kushinda Tanzania watu wanamaliza chuo kikuu hawajui kingereza, kwa mfano nchi kama Japan Prof mwenyewe hajui kingereza, Dernmark wanafunzi kibao wanamaliza chuo kikuu hawajui kingereza, hilo sio la ajabu, kujua kingereza ni juhudi ya mtu. Msiwakatishe tamaaa wapeni moyo iliwajitahidi kujua hicho kingereza.
ReplyDeleteNyie wote mnaoponda wanafunzi wa chuo kikuu hamjui kinachoendelea pale chuo mpaka utakapo pata nafasi ya kuhudhuria pale chuo, mtu haujifunzii kiingereza chuo kikuu,our education foundation from primary to high school haimuandai mwanafunzi vizuri kuwa na good communication skills, not only english, hata ukimwambia mtu asimame mbele aongee kiswahili bado utaona kuna udhaifu, mi nakumbuka secondary walimu karibu wote wanafundisha masoma kama chemistry, history kwa kiswahili.Swala lingine la wanafunzi wa chuo kuwa wanatoka pale hawana good skills ni our poor curriculumns. We mtu unasoma engineering unapewa assignment ya kutengeneza jiko la mkaa.The courses we have in our university do not reflect what you are going to face in real world......
ReplyDeleteNyie kiingereza mtu hujifunzii chuo kikuu......
ReplyDeleteWewe anonymous wa March 27, 2:50:00PM ujinga wa hao wanafunzi wa Chuo Kikuu kulingana na mtazamo wako finyu ni kuwa wanawake na warembo. Ujinga wako wewe ni bwege mtozeni uliyeshindwa kutongoza ukaishia kukandia. Anonymous wa March 27 8:10:00Pm nakubaliana nawe kiiingereza inabidi ukianzie msingi ili uweze kukimanya sawa. Wee bwege sikia maneno hayo acha kasumba.
ReplyDeletemawazo bado yupo amelost kabisa, hila ukimtumia uchache kidogo wakati michuzi anampiga picha itakuwa bomba kichizi.
ReplyDeleteMawazo siku hizi yuko Udasa zaidi ya Sheraton hivyo kama Michuzi atataka picha yake amfuate Udasa ile sehemu ya wanafunzi maana wasichana warembo wanakula udasa siku hizi ndio maana hata shule haipandi tena maana wanaendekeza mambo fulani
ReplyDeleteNyie mnaotukuna wanafunzi wa UDSM wote ni wajinga wakubwa na mnayoyasema hayana ukweli wowote, wewe hujasoma pale mambo ya assignment ya jiko la mkaa umeyajulia wapi kama sio umbeya watu wengine wanakuwa na aikli za matope, wengine tunajua ni chuki binafsi walienda pale wakanyakwa saa hizi wanaponda, hacheni ujinga jamani, pia unathubuitu kumtukana mheshimiwa rais na waziri mkuu pamoja na mazuri yao yote wanayoyafanya bado wewe hauoni, yaani kweli wewe kichwa chako kina matatizo makubwa, OK ukisema swala la kingereza basi sio wanafunzi UDSM ambao hawajui, itakuwa ni vyuo vikuu vyote vya Tanzania, kwa sababu walimu wengi wa vyuo vikuu vya Tanzania wametoka mlimani, na kama wametoka mlimani basi na wenyewe hajui kingereza vizuri kama mnavyosema, kwa hiyo na wanaofundishwa na walimu hao hawajui kingereza kitu ambacho sio kweli. Sababu wanafunzi wengi wanaomaliza vyuo vikuu vya Tanzania wanajua kingereza. Kwa kifupi nyie mnao ponda UDSM akili zenu ni finyu mnalopoka tu bila utafiti na ushahidi wowote na hamna la maana lakutueleza wakati mnasema walio soma mlimani hawana la maana tunaona watu walisema pale pale kama Rose Migiro, Ana Tibaijuka na wengine wengi wanapewa nyadhifa muhimu kwenye umoja wa mataifa hawa watu hawakuchaguliwa waliteuliwa na kwenye nyadhifa kama hizo uwezi ukamteu mtu ambaye kwanza hajui kiingereza kama mnavyosema. Kama mlienda pale mkaliwa vichwa poleni sana kwa hiyo msikiponde chilimani kaeni kimya au kama nyie ni bora zaidi na mnajua kiingereza sana tunawasubiri mje muoneshe makali yenu na hicho kiingereza chenu.Pia tunaomba mtoe majina yenu na shule mlizosoma ili tufuatilie maendeleo yenu huko nyuma yaan form four na form six kama mlipita vizuri mimi nina wasi wasi sana na nyie.Watu wanaoenda vyuo vikuu vya Tanzania ni vichwa sio bongo kulala na mtu anayesoma shule ya maana hawezi andika ujinga kama nyie mnaondika.
ReplyDelete