Home
Unlabelled
rosti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo ni ZANZIBAR HOTEL DUBAI
ReplyDelete...brother michuzi unapenda sana kula wewe...maana picha zako nyingi ni kula kula tuu,lakini hapo brother naona ilikuwa ni food feast ya nguvu hapa mate yanitoka...duhh!
ReplyDeleteMwana angalia sana Rift Valley Fever nasikia huko dumila watu 21 wameshasombwa na hilo gonja
ReplyDeleteNaona upo Burj al Arab
ReplyDeletehuyu jamaa anaumwa kagonjwa nini????
ReplyDeleteHey mwacheni Michuzi nani asiyependa kula. Na hata kama anakula vipi lakini angalieni figure yake. Nyie msiopenda kula au mnaolia jikoni lakini minene kama nini.
ReplyDeleteMichuzi enyoy your life as long you know what you put in your body gp for it and don't listen to anybony.
huo msosi ni wa nguvu....
kwa raha zako kaka
ReplyDeletenilivyomiss msusa huo jamani
dah natamani nami nirukie misosi yako lol!
yaani ulijinafasi kinyama
kula kwema kaka
Kaka Michuzi angalia shavu hilo litazidi kwahiyo misosi unayoifanyia, punguza kidogo usije ukapata magonjwa.
ReplyDeleteNISAIDIENI JAMANI,HUO MSUSA NDIO MBOGA GANI?
ReplyDelete