Home
Unlabelled
swala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huko wahuni "hawachukui" viatu ukiingia msikitini?, Bongo si ajabu kurudi nyumbani pekua, watu wangekuwa "weshakunywa" skuna zako!
ReplyDeleteMisikiti kama hii ya Uarabuni huwezi ibiwa viatu.Check watu wenyewe wanaotoka msikiti afya zao! Ingekuwa misikiti ya Tanzania ungeona wengi wanaotoka Msikitini wamekondeana na asilimia 90 viatu vyao ndala za SHS.500 zilizolika vikanyagio vya nyuma na kuwa na tundu.Aina ya watu wanaoswali msikitini ndiyo inayoamua viatu viibiwe au visiibiwe.
ReplyDeleteKuna wengine wanaamini kwa moyo wote kuwa Misikiti ambayo matajiri na masikini wanasali pamoja lazima viatu viibiwe ili kupunguza "gap" kati ya matajiri na masikini msikitini.
Na mtu mwingine hapa bongo anaenda msikitini kuganga njaa.Msipomsaidia hapo msikitini hakubali kuondoka bure lazima aondoke hata na kiatu cha mguu mmoja cha mtu bila kujali ni cha Imamu au kafiri.
Ulituombea wanablogu wa Tanzania? Najua ulitusahau. Picha poa sana za nchi za watu.
ReplyDeleteWewe annoy hapo juu acha mawazo ya kijinga. Kwani hao watu unaowaona wewe mbona wako kawaida? Wewe kwa vile umeona waarabu basi hawajui kuiba au nini kilichokufanya uwaone hawa watu ni top of the line? Na nani kakwambia wee unene ndio utajiri? Ndio maana diabetics na high blood pressure hazitatuacha siye wabongo kama hatutaacha hii sterio type ya kijinga.
ReplyDeleteMichuzi na wewe bado tu unavaa skuna?Afadhali basi zingekuw wanchoma kumoyo(saka nyoka)lakini hivyo vyako old fashion na wewe mh!!!!!!!!
ReplyDelete