tid na q-chief walitumbuiza kwenye uzinduzi huo juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi, naona mashoga kweli wako kila kona za Jiji la Raha na Karaha la Dar, Hilo lijibaba hapo no doubt ni Bwabwa, Sasa lina mwonyesha nani hiyo Draw ya Kevin Klein, Watu wa fleva bwana.

    ReplyDelete
  2. Kweli Umeishiwa TID Hadi Unayamwaga Ya Kiwazenze???Kichaa Wako Hana Mbavu Nyuma Huko

    ReplyDelete
  3. kata kata, kata mwanagu kata! kiuno chako mwenyewe! wala hukuazima.............mashaalah mtoto kabarikiwa, namwalika aje huku Lamu kisha niende nae mombasa, msambweni mpaka pwani ya kiwengwa kule zanzibari

    ReplyDelete
  4. Jamani mwacheni T.I.D wa Wema aonyeshe vitu ambavyo Wema anavikosa siku hizi!

    ReplyDelete
  5. eh jamani tid hapo ulikuwa anacheza gere au mimi sijakuelewa naisi ulisahau kama unaimba bongo flava ukatubukia kwenye miduara loooo utazani upo njenje...NA NANI KAKWAMBIA UTUONYESHE BOXER YAKO....

    ReplyDelete
  6. Kweli saa nyingine ukiitwa kichaa si lazima ubebe maboxi, sasa huko kukataa mauno namna hiyo ndio maana yake nini? alafu ulikuwa unavua nguo iliiweje TID wewe ni mwanamuziki wa bongo fleva kwenye ya mduara na mauno yamekupataje, go with your profession. You are loosing.

    ReplyDelete
  7. hata mimi ninaamini kwamba huyu jamaa yawezekana akawa shoga kweli

    ReplyDelete
  8. Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu , alipenda hicho kiuno jamani mwacheni mwenzenu akate iliapate na wengine, wengine kinawachanganya sana hicho kiuno!

    ReplyDelete
  9. mimi ni mpenzi sana wa bongo flava ila kuna kitu ambacho kwa kweli sikipendi sana kutoka kwa wasanii wetu.
    unajua wasanii ni kioo cha jamii. Hiyo inamaanisha kuwa jamii inaangalia nini wasanii wanafanya ili nao wafanye, sasa unapokuta wasanii wakiume wanavaa herini, vidani, wengine wanatia dawa za kulainisha nywele na hata kufikia hatua kutumia mikorogo. kwa kweli haipendezi. sijui wenzangu mnalichukulia vipi suala hili???

    hata kwa wasanii wanawake. kadhalika nao wanavaa nguo ambazo kwa kweli si haki kuitwa nguo. Swali langu kwa wasanii jee mnatufunza/mnaifunza nini jamii yetu ya Kitanzania???

    ReplyDelete
  10. bora ya brazameni mwingine kule na shati lake la kichinachina!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...