naomba usiniulize hii wapi. ila sio dumila

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duuuh!?... Sasa hii ndio nini tena!? ha ha ha aa... yaaani kupiga Bodi marufuku au? Tembea ujionee...

    ReplyDelete
  2. Mie mwenzenu haijanikaa vizuri, inamaana huyu mwanaume asichungulie huko ni kwa wanawake au ni vipi?.

    ReplyDelete
  3. Yaani mwanaume anamchungulia mwanamke chooni!

    ReplyDelete
  4. Yaani hapo kupiga chapo ni RUKSA!! au ukitaka kuangalia 'PILAU' kabisa ni ruksa..dumila oyee!

    ReplyDelete
  5. Hii inamanisha utakula kwa macho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...