yaani hawa jamaa sijui wangemuona hasheem wetu ingekuwaje. huyu tolu kapanda kidogo to imekuwa nongwa mitaa ya dumila. lilipompima kinamna nikakuta hasheem kamzidi kwa inchi kumi nzima. halafu jamaa huyu ambaye ni mpakistani anayeenda kwa jina la mohamed ni kibuda mara tatu zaidi ya hasheem wetu anayetesa ughaibuni kwenye mpira wa kikakpu
Home
Unlabelled
tolu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...