viongozi wa vyama vya upinzani walipokutana kujadili mstakabali wa katiba mpya hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. asante sana michuzi kwa picha hii kwani inamuonyesha vizuri bwana mrema kuwa kumbe na yeye anajua kulicheza salsa ngoma ya kiratino mana angekatika kiuno simchezo

    ReplyDelete
  2. Michuzi hatuna cha kucomment juu ya wachovu wa kisiasa kama hawa .Nchi hii haina wapinzani ina wababaishaji.Ndio maana tumewanyamazia lakini ukitaka tuwaparamia maisha yao binafisi endelea kuwaweka.

    Tuna ushahidi kuna mashoga ndani ya baadhi ya wapinzani ndio maana wengine hata wake hawana na si mmoja ni wengi na wametulia kimya na kuongoza hivi vyama. Tuna data za waume zao wanaowaparamia.Ukiendelea kuwaweka tutamwaga mtama kwenye kuku wengi.Kwenye upinzani kuna Watu wazima lakini hovyo!

    ReplyDelete
  3. Yaani kati ya hao ni nani shoga?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...