sir juma nature akiwa na kausafiri kake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. mpe hongera sana, yupo ktk wakati mzuri. najua baadhi ya sisi tulio nje tutasema lazamani, lakini lake. wasanii wengi hawakufikia hapo.

    ReplyDelete
  2. Kaka hongera. Hilo ni gari zuri sana. Watu wengi hawana kama hilo. Hiyo ni product ya Mjerumani, na wote tunajua mjerumani huwa habahatishi.

    ReplyDelete
  3. safi sana. Sir Nature unastahili kufaidi matunda ya kazi yako. Hii sio mali ya uwizi au marupurupu ya ubunge etc.

    ReplyDelete
  4. Naona logo ya 120 kwa mbali, dirisha la nyuma. Si mchezo baba una represent!!!

    ReplyDelete
  5. hongera 'sir nature'una haki ya ku enjoy,hicho ni chuma cha pua cha mjerumani,big up to bongo flava kwa kutoa ajira kwa vijana kama hawa.

    ReplyDelete
  6. Hongera kaka kwa OFF Road ya zaidi ya miaka 20 iliyopita!! Bora Mercedez tu bwana......noma hiyo.

    ReplyDelete
  7. Nafagilia kazi za Nature but really una Mercedez..Nyumbani unakula nini..Kuna balanced diet au ndio yale yale ela yote inaishia kujaza wese kwenye mashine hiyo hapo...

    ReplyDelete
  8. We anony wa saa 10:46 acha majungu,ndio nyie mnaopenda kufuatilia maisha wa watu ya ndani,nini anakula anajua mwenyewe,ili mradi hafi,chochote kinachopatikana poa tu,muangalie vile sura mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. duh, mi naona bora angenunua batavuzi ya miaka mitano ilopita kuliko benzi anayolingana nayo umri, hahahahaha
    na huyo ndo wanamwogopa kwa usafiri watoto wa bongoflava

    ReplyDelete
  10. HII GARI NI NZEE KULIKO YEYE MWENYEWE MBONA?

    ReplyDelete
  11. Watu wenye wivu utawajua tu. Mwenzenu kanunua Benz kwa hela yake halali, sio rushwa, wala magendo, sasa mnaanza kumsema vibaya. Hiyo ni Benz, hata kama imeshakuwa classic, bado ni Benz, German made car, cold blooded. Na haiwahusu chochote anachokula. Acheni roho za korosho, na wivu. Kaka Sir Juma Nature hongera, usisikilize maneno ya wakosaji. Hilo ni dua la kuku....

    ReplyDelete
  12. acheni dharau washkaji,bahati mbaya hatujui wewe ni nani na upo wapi,lakini wanaobully wenzao ndio wanamaisha mabovu kinoma,mnajitoa kimasomaso ili watu wasiwajue maisha yenu,si afadhali huyo mwenye gari la miaka mingi kuliko wewe unagombana na mvua na jua kwa ngondi.
    nyie ndio msiopenda maendeleo ya watu,inawezekana wote mlikuwa maskani enzi zile,sasahivi kakuacha kwenye mataa,huyooooooooooooooooooooooooooooooooo,mlala hoi anayesagia maendeleo ya watu,mzomeeni,hohohoho,mchekeni,hahaha,booooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  13. Nyie anonym's mnaye mkandia Nature hamna dili wala nini, Big up Sir Nature, hao wote wanaokusagia hawana hata baiskeli kazi kuomba lifti kwenye michuma ya watu. Nature mie nakuaminia hayo majungu yao yatakufanya utoke na singo nyingine kama sio Utajiju part 2 au 3 kabisa. Michu hebu tupe lile pini la "Mzee wabusara" by Nature

    ReplyDelete
  14. Yaani wabongo wana roho mbaya usiseme!Hata misupu angewawekea mali zote anazomiliki Sir Nature bado mgekandia tu.Roho mbaya hamtaki mwenzenu afanikiwe.Hiyo benz Nature kanunua kwa hela ya muziki,tena cash,sio mkopo!kijana kajitahidi sana kupigana na umaskini.mjifunze ku appreciate kazi za vijana wenzenu.Mlitaka awe jambazi anunue range rover ndio mumsifie?ukisikia roho ya korosho ndio za kwenu nyie mnaomkandia.

    ReplyDelete
  15. Hongera sana Juma Nature kula jasho lako, JAPOKUWA ZENGWE LENYEWE LILIANZISHWA NA CAPTION(KAUSAFIRI KAKE) hapo ndio negative minds zikapewa charger.

    ReplyDelete
  16. Unaekandia ''WEYE UNALO???''

    ReplyDelete
  17. hii ndo tulikuwa tunaita MKWECHE enzi hizo! lol naona mshikaji kajiibulia ka-mkweche kake ka-stick shift anabadilisha gia kama kawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...