washikaji hamna noma wala nini, tuko pamoja... waziri wa habari, utamaduni na michezo muhammad seif khatibu na naibu wake joel bendera wakiwapoza wachezaji wa staaz baada ya kutua leo eapoti ya mwalimu nyerere toka senego

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi unafanya kazi ya ziada, sababu glob yako iko up-to-date kweli kweli. Ma breaking News(habari zilizovunjika) yaani kila kituuu.
    Stars sisi hatuna noma nao, wamejitahidi makamanda. Yaani wasikonde wala nini, tumeumia wote. Wangetoa walao Draw hapo eapot pangekuwa padogo mnooooo.
    OC-Sinza

    ReplyDelete
  2. eee bwana eee michuzi nimefurahi sana kumuona Muhogo mchungu yupo wapi na anafanya nini sasa maana maigizo yake yale ya mzee fulani cha uvivu kijijini amenikumbusha mbali sanaa ukiweza nilitee yake mwenyewe nitafuri sanaa

    ReplyDelete
  3. Bwana Masupu naomba nitumie fursa hii kurekebisha kitu ambacho kimejitokleza kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuhusu msimamo wa kundi la 7 kwenye michuano ya kufudhu kwenda Ghana. Tanzania inashika nafasi ya PILI na siyo ya TATU kama inavyoelezwa, kwa nini? Jibu ni kwamba kwa kuwa Tanzania iliishinda Burkina Faso, Tanzania ina faida ya kile kinachoitwa head to heda collision. Kwa maana hiyo ukichukua takwimu za ushindi na siyo idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa Taifa Stars ina faida hiyo ya kushinda mezhi yake dhidi ya Burkina Faso kwa hiyo bado tunashika nafasi ya pili. Dont count magoli ya kufungwa na kufunga katika sheria hiyo.

    ReplyDelete
  4. Senego wametuchezesha usiku kwa vile wachezaji wao wamezoea baridi kule majuu wanapocheza.Sasa ngoma hapa,kipute kichezwe saa 9 mchana na dua zetu jua liwake ile mbaya,utaona ulimi wa Diof na wengine mpaka utawahurumia score board dakika ya 87 itasomeka hivi;
    TANZANIA 3; SENEGAL 0

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...