Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. nimekubali michuzi, weka basi chama la machrcoal maker MZUMBE SECONDARY MOROGORO basi,nikumbukie enzi hizo za mlali

    ReplyDelete
  2. You know what Michuzi...what can I say ....you are so nice. Most of the time jinsi unavyo act ndio maana ninarudi kila siku kwenye blog yako.

    I don't know what to say but I really admire you. Yaani pamoja na kazi na mishughuliko uliyonayo lakini umewasikiliza wote wanaotaka uwawekee picha za shule zao walizokwenda.

    Thanks of behalf of all kwasababu most of the time no good deed goes unpunished lakini no matter how aggravates you get, just know that they are few of us who really appreciate what you do.
    Thanks

    ReplyDelete
  3. Michuzi vp tunasubiri Chama la Wanajeshi kamili JITE UTE (JITEGEMEE SEC). Tuliwapa kichapo cha kufa mtu TAMBAZA mpaka shule yao ikafungwa. Niangushie basi snepu moja la watoto wa Kilwa Road JITE UTE FAMILY.

    ReplyDelete
  4. wewe anon hapo juu, mwanangu mie nakupa support. Aliweke chama hilo la Mzumbe Sec watu tukumbukie enzi zetu, naikumbuka miwa ya mlali, na rasta fulani maneno mengi alikuwa anauza miwa na madafu.jamani kusoma starehe, asikwambie mtu!

    ReplyDelete
  5. Anony hapo juu naomba nikumbushe fresh huyo rasta mbona mimi simkumbuki?alikuwepo miaka gani?mimi namkumbuka mshkaji fulani alikuwa anatembea kwa gongo,jamaa alikuwa anaongea halafu mgomvi kishenzi!hahahahahaha old school days...

    ReplyDelete
  6. Tunashuru kwa kutukumbusha enzi zile za shule. mimi Michuzi naomba uniwekee LOLEZA SEC, nitashukuru zaidi

    ReplyDelete
  7. Aluuu! Michuzi umenikumbusha mbali sana. Yaani umetoa sehemu ambayo ndo tulikuwa tunajistili tukitoka ndani ya madarasa yaliyokuwa yanatupatia stress. Big ups Michuzi.

    ReplyDelete
  8. Michuzi naomba picha ya Zanaki Secondary

    ReplyDelete
  9. Kazi nzuri brother Michuzi,
    Lakini unaonaje kama ukitumia wide angle lens ili uyapata maandishi yote vizuri.

    ReplyDelete
  10. WEwe Tarehe Wednesday, April 04, 2007 2:51:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
    Huna Akili Kabisa..yaani unaweza kusema hivyo sasa? au kwa kuwa unajua TAMBAZA imefungwa? bado masela tupo mkong'oto mlioupata mnajua wenyewe et jeshi..Jeshi halisi ndio SISI TAMBAZA..wewe hadi serikali iingilie kati ujue hapo shughuli ni pevu...Tulitembeza mkong'oto kwenu ...Kinondoni watoto wa mama..hakuna shule ilikuwa inatia mkono..tukipita wote mnakimbia njia..ilikuwa raha sana..ikija kwenye masomo matokeo TAMBAZA was still number one..what can else can say?..good times...TAMBAZA for life.

    ReplyDelete
  11. Ebwana Michuzi naomba sana chama la Jite Ute nakumbuka sana pale.palinikomaza sana nilipomaliza shule nilikuwa "mbishi" sana.

    Kama utafika ndani muulizie jamaa mmoja anaitwa WAJADI a.k.a Mdudu.Jamaa sitamsahau kwa yeyote aliowahi kukaa Hostel pale atakuwa anamfahamu huyu mwalimu.Ukiileta hiyo picha nitamwaga mengi.

    ReplyDelete
  12. the expression is no good deed goes unrewarded...not "unpunished"..it's ok..it happens to all of us

    ReplyDelete
  13. Anon wa Mzumbe boy, huyo rasta bwana tulikuwa tunamuita hivyo kwa hiyo jina lake halisi silifahamu. Na sio kwamba alikuwa rasta kweli! jamaa alikuwa yeye na bafu/maji hawaendani kabisa. Nywele zikawa ndefu hadi kageuka kuwa rasta automatically.So alikuwa mchafuuu! sasa usiniulize kwanini tulikwa tunanunua miwa kwa jamaa mchafu, hahaaa! mambo ya shule hayo!! Hiyo ilikuwa 1995-98.

    ReplyDelete
  14. Duh! Michuzi nimekubali. Mi nilimaliza hapo mwaka 1990. Nilikuwa form 4-S. Akina mwalimu Asanga na Mr Chris walikuwa wanatupagaisha sana. Yuko mwalimu mmoja wa kihindi alikuwa anafundisha book-keeping, alikuwa haeleweki kabisaaa. Kiingereza chake kilikuwa kama kihindi. Tulikuwa tunachanganyikiwa jana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...