chama la mji kasorobo bahari, mseto fc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. MICHUZI! KWA NIABA, KUMBUKUMBU NA HESHIMA YAO, NAOMBA VIKOSI VYA TUMBAKU(MOROGORO)-1979,WATOTO WA NYUMBANI -1982, WANA KAWEKAMO-1985 , WANYAMABALA -1986 NA WANA LIZOMBE-1982. NATANGULIZA SHUKRANI NYINGI!!!!!!!!-Mimi Mtu wa Mpira

    ReplyDelete
  2. Nasikia Zamoyoni Mogella, Omary Hussein na Charles Boniface Mkwasa walitokea hii timu.

    ReplyDelete
  3. ndugu michuzi kwanza samahani kwa kwenda nje kidogo ya mada.Mbona umetuaqngusha.Tangu wale watoto tuwatie adabu mpaka alfajiri ya leo tulipo fanya mambo makubwa mbona kimya.Au unasubiri na YANGA yako ishinde(mie SIMBA lakini.Hebu watishe hao Man U na wenzao wote wasiojua mpira.Tunahitaji nyota 6 sasa.Nipe raha Michuzi.

    ReplyDelete
  4. Michuzi weka wana TUPWISA MAZEMBE LINDANDA. PAMBA FC

    ReplyDelete
  5. samahani michuzi wao walikuwa ni wachezaji au viongozi watimu?maana naona wamepiga kaunda na hapo ni kama uwanjani.na huyo demu hapo kulia alikuwa nani?lakini ametulia kinoma kumbe hata kipindi hicho kulikuwa na mademu wakali namna hiyo?

    ReplyDelete
  6. Anony wa 4/4/2007, 4:03:00pm, Zamoyoni Mogella hakutokea timu hii. Zamoyoni alianzia Zaragoza timu ya mtaani kwao maeneo ya Sultani Area kabla ya kwenda Tumbaku chini ya Kocha Msomali halafu Simba. Miaka ya Zamoyoni, Mseto tayari ilikuwa imebaki jina tu. Mkwasa alichezea Mseto, Omar Hussein sina hakika sana.

    ReplyDelete
  7. Hapa nawakumbuka akina Shia Liambiko, Mnyepe na Sululu. Ilikuwa timu ya kwanza kutoka nje ya Dar Es Salaam kuchukua ubingwa wa Tanzania

    ReplyDelete
  8. Timu hii ilikuwa ndo bab kubwa kipindi hicho ukiacha Simba,Yanga na Coastal Union,hapa jamaa walikuwepo akina Shiwa Lyambiko,Shilingi,Mnyepe,Spencer,Omar Hussein,Abdallah Hussein,Aluu Alli,Hemed Mussa,Miraji Salum,Hussein Ngullungu,Vincent Mkude,Charles Boniface Mkwassa,Roma Mapunda na Kassim Mmanga.walichukua ubingwa wa tanzania kwa mara ya kwanza timu toka mikoani waliibamiza Nyota ya Mtwara kwenye fainali National stadium 4-1.

    ReplyDelete
  9. ghmm,Omar Hussein wakati huo wa miaka ya 1975/76 alikuwa ni dogo wa miaka 17 ama 18 na aliyekuwa na namba ya uhakika kwenye timu alikuwa ni kaka yake, Abdallah Hussein.

    Annoy wa 06:49, kwa kumbukumbu zangu hapo ulikuwa ni uwanja wa ndege wa Dizim na walikuwa wanarudi ama wanakwenda Madascar ambako ndiko walipangiwa mechi yao ya raundi ya kwanza na nakumbuka kama hawakuendela zaidi ya hapo. huyo bint ni air hostess wa shirika mfu la EAA - East African Airways ambalo lilikuwa linatingisha hata mashirika makubwa ya ndege duniani lakini jamaa wakalifanyizia....

    ReplyDelete
  10. chesi umechemsha,kwa taarifa yako basi Omar Hussein kacheza timu moja na kaka yake Abdalah Hussein na tena siku zingine Abdallah alikuwa anakaa bench Omar Hussein anacheza kila mseto inapotinga uwanjani.NA MUHIMU KATIKA MAGOLI YALIYOIPA UBINGWA MSETO OMAR HUSSEIN ALIFUNGA HAT TRIK mean alifunga magoli matatu dhidi ya nyota ya mtwara,4-1.

    ReplyDelete
  11. Omary Hussein ni huyo wa kwanza kushoto aliyeshika mpira.Brother mtuni wa pili chini kulia pia ameshika mpira.Mkwasa ni wa tano kulia waliosimama. Wote ni warugulu.

    ReplyDelete
  12. annoy wa 2:05, asante kwa ufafanuzi. hata hivyo sikusema kuwa omar hussein hakucheza timu moja na kaka yake, as such. hoja yangu ililenga zaidi kwamba kwa vile abdallah hussein ndio alikuwa mkubwa basi lazima kuna wakati yeye ndio alikuwa anapata namba zaidi kuliko dogo ambaye bado alikuwa anachipukia. otherwise, thank U 4 the ufafanuzi.....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...