sir juma nature akiwa na mabodigadi wake kwenye shoo ya wanaume halisi wa tm capri point

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu naye asilete mambo ya Umarekani, yaani amekuwa superstar kiasi cha kuanza kuwa na walinzi binafsi. Unataka kuniambia kwamba Tanzania siku hizihakuna usalama kiasi hicho. Au ni mbwembwe za wanamusic. John-Mwanza

    ReplyDelete
  2. Msiwakweze hao sio CP (Close protection).Hii ni fani acheni hizo.
    waiteni mabaunsa na siyo CP.Mnakosea sana kusema kama Nature ana CP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...