wababe wa cosmopolitan na kocha veterani mansour magram (shoto)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa wale waliokuwa wanafuatilia mambo ya mpira bongo enzi hizo, kulikuwa na uvumi sana kwamba huyu Coach Mansour Magram alikuwa anaweafanya wachezaji mchezo mbaya halafu ndio anawapanga kwenye team (sio wachezaji wote lakini) na uvumi huo ulizidi zaidi pale alipokuwa Coach wa timu ya Dar es salaam Mzizima United, wakadai kwamba kuna mchezaji (jina nalihifadhi) na ni Coach siku hizi ambaye aliwahi kuichezea Simba hapo siku za nyuma kwamba alikuwa anashugulikiwa na jamaa ili apangwe ingawa wengine walikuwa wanasema kwamba mchezaji huyo amezoea huo mchezo wa kutoa uroda. Wana blogu wale ambao mnakumbuka uvumi huo hebu thibitisheni hizi habari kama ni kweli au ndio uvumi wa kibongo usio na ukweli.....

    ReplyDelete
  2. hapa namkumbuka kocha mansour magram- watatu toka kushoto ni mohamed msuba, wajina zitto kiaratu.waliokaa toka kulia ni mohamed msomali,mohamed kassim, wapili toka kushoto ni jamil kabla hajakwenda uarabuni. mohamed aden mkubwa wa ismail aden wa fat alikuwa bado shuleni tabora,aden baadae alikwenda dubai ambako anaishi mpaka leo. mohamed msomali baadae alikuwa kocha wa mseto morogoro miaka 75-76 picha hii takriban 1971. hawa jamaa walikuwa wanachapa simba au yanga mara kwa mara, magram ndiye aliyeuwa hii timu baada ya kuhamia simba pamoja na mohamed bakari tall, jumanne hassan masumenti.

    ReplyDelete
  3. samahani, kipa hapo ni mfaume!!!picha hii inatupeleka mbali wengine(primary)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...