Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sasa hapo kipanya kweli umefikiria ila sasa wasiotumia umeme bei ya mafuta ya taa itapanda.

    Baada ya kutangazwa ugonjwa wa lift valley kuku sasa nasikia 10,000.Na kuhusu saruji naona bei ya mbao itapanda watu wakitaka kujenga nyumba za mbao.

    Kazi ipo jamani.

    ReplyDelete
  2. TANGAZO
    blog zinaharibu macho ya wachangiaji

    ReplyDelete
  3. breaking news:

    bia aina ya ndovu, safari na vileo vingine vyote vinasababisha kansa ya koo, wakati soft drinks zote kama colacola, fanta na nyinginezo zinasababisha ugonjwa wa kupasuka ulimi na...

    haha haaaaaaa kipanya unatisha....

    ReplyDelete
  4. Kwa hali ya maisha inavyokwenda hivi sasa, tutaogopa kugusa kila kitu. Maana tukifanikiwa kuokoa au kutibu kitu kimoja kingine kinazuka. Baada ya kutibu gonjwa la umeme, limeingia gonjwa la homa ya bonde la ufa sijui baada ya hili sijui litakuja balaa gani. Mungu ibariki Tanzania kweli

    ReplyDelete
  5. Kuna mjinga mwingine juzi juzi kazusha kuwa eti ukila chakula cha moto na kunywa maji ya baridi mara baada ya mlo unaweza pata kansa. Sababu ni kwamba unayagandisha mafuta uliyokula kabla digestion haijaanza! Sasa ukila ugali na maharagwe yasiyoungwa inakuwaje?

    Nadhani hizi zushi tuwe makini sana. Vinginevyo, hata ngono inasababisha watu kuzeeka kwa haraka. Kama watu wakiacha ngono nadhani kutakuwa hakuna kizazi kipya!

    ReplyDelete
  6. kizazi kipya kitoke wapi? na maukimwi yaliyojilalia hapo bongo kuna kizazi kipya kweli???

    ReplyDelete
  7. Mi nafikiri response hii ya RVF tungeiweka kwenye UKIMWI sasa hivi tungekuwa mbali sana kupambana na hili gonjwa, watu wangeogopa ngono kama wanavyoogopa kula nyama ya ng'ombe sasa tungeshusha maambukizi mapya kwa asilimia 95%. Ila wapi hapo bado wagumu kama mawe, Condom hazitumiki, watu bado si waaminifu kwenye ndoa. Ebu tuanze sasa tufanye kila mwanamke au mwanaume unaemuona ana (RVF) UKIMWI, na wewe hauna si utaokoa taifa.

    Ila huu ugonjwa wa RVF untaka kufanana na ule wa EBOLA uliozuka kule DRC miaka hiyo, watu walikuwa wanatokwa na damu sehemu zote zilizo wazi kabla ya kufa, Michuzi hebu fanya utafiti hapo kunatofauti au ni majina tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...