tabasamu la fweza la meneja mpya wa sir juma nature

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ndugu that is ridiculous....please vitu vya ma ghetto wa USA achia wenyewe. Mshikaji

    ReplyDelete
  2. kapige mswaki

    ReplyDelete
  3. Madafu hayana nembo jamani? Acheni kufagilia hela za wengine.
    Si amechora meno manne angeandika TSHS not a $ sign

    kwanza sijui ni copper au ni colored silver itampa lead huyo....mwambie aachane na hayo ma asbestos kuyaweka mdomoni. Wenzake wanatumia fake teeth

    ReplyDelete
  4. Meno yataoza wewe...kwa Dentist kwenyewe huendi kila mara. Mambo ya kuiga tu. Hii kitu uliyoweka kwenye meno ina mercury..sijui hata unajua madhara ya mercury..?

    ReplyDelete
  5. Hivi kwanini watanzania tunakuwa wajinga ? kwanini tunakopi ujinga .....

    ReplyDelete
  6. Michuzi hapa wadau wote wamemponda huyu ndugu na hizo meno yake hakikisha unamwonyesha haya yote waliyoandika wadau.
    Thanx men.

    ReplyDelete
  7. Hayo meno ya mbele ni athari za sigara ya kienyeji (kule kwetu huitwa "sonyo") ambayo mvutaji anasokotea tumbaku kwenye gazeti kisha anawasha na kuvuta.

    ReplyDelete
  8. Dirty Sanchez

    ReplyDelete
  9. MIMI NAFURAHI KUONA KWAMBA ANGALAU KUNA WATU WAMETOKA NJE YA NCHI NA KUYAJUA HAYA BASI NAWAOMBA NYIE WOTE MNAOTOA MAONI MSITOE KWA HASIRA SANA JARIBUNI TU KUWAELEWESHA HAWA WATU KWAMBA MTU YEYOTE WA MAANA HAWEZI JIHUSHA NAUJINGA HUO UNAOENDELEA WA KUJICHORA NA KUJIWEKA MICHORO YA NAMNA HIYO HAO WATU WA NYUMBANI HAWAYAJUI HAYA KAMA ULIVYOKUWA WEWE KABLA HUJAWA EXPOSED KWENYE HAYO YAANI INATIA HURUMA SANAA LAKINI LAZIMA MJUE WAMAREKANI WAMETUMIA MUDA SANA KUTUHARIBU HIVYO KUONDOA UHARIBIFU HUO PIA UTACHUKUA MUDA HUWEZI KUMWAMBIA HUYO MTU ATOE AKATOA WAKATI ANAONA KAMALIZA.....WANAHITAJI KUELIMISHWA KWANZA STEP KWA STEP JINSI GANI WALIVYOHARIBIWA NA JINSI GANI WANAWEZA JIKOMBOA

    ReplyDelete
  10. kaka wa watu ana meno mazuri anayaharibu maskini unajua ukweli ni kwamba huonyeshi kwamba ni mjuaji bali ni limbukeni kiasi gani pole sana

    ReplyDelete
  11. wacheni wadau kumponda mwenzenu ni style kila mtu anachoise yake ya kufanya atakacho wacheni hiyo mnajifanya kujidai kuwadandia wenzenu na kuwa walimu waku je na nyinyi mnafanya nini katika maisha yenu acheni hizo siketi yakwenu yanayokuhusunu kila mtu analo lake linalomsumbua kichwa acheni kuwakandia wenzenu na nani kakwambiyeni kwamba haendi dentist? kujidai ujuaji tu. bro big up nice style leave the hater,they will hate at the end of the day the will shut there stinking mouth.

    ReplyDelete
  12. Juma Nature aibiwa Sh4m Mwanza

    Na Paulina David, Mwanza

    MSANII wa kizazi kipya Juma Kassim ama Juma Nature (27) juzi aliibiwa Sh4milioni jijini hapa.

    Msanii huyo aliibiwa fedha hizo katika Hoteli ya Dabuya iliyoko maeneo ya Uhuru jijini hapa ambapo alikuwa amefikia.

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Zelothe Stephen aliwambia waandishi wa habari jana ofisini kwake kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 10 majira ya saa 10:00 jioni katika Hoteli ya Dabuya ambapo msaanii huyo alifikia.

    Kamanda Zelothe alisema kuwa siku ya tukio Juma aliweka Sh4milioni chini ya godoro na kwenda matembezini na aliporudi usiku aliangalia fedha hizo na hakuzikuta na hivyo kutoa taarifa polisi.

    Kamanda huyo alisema kuwa katika tukio hilo wanamshikilia muhudumu wa hotel hiyo, Halima Mustapha mkazi wa nyegezi kwa mahojiano zaidi.

    Hata hivyo, kamanda Zelothe alisema kuwa kutokea kwa tukio hilo ni uzembe wa msanii huyo kwa kuwa hawezi kukaa na kiasi kikubwa cha fedha hizo hotelini.

    Alisema kuwa hadi hivi sasa hakuna pesa yoyote iliyopatikana na uchunguzi zaidi juu ya tukio hilo unafanyika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...