nakula pozi na mdau anayerekodi tua ya wanaume halisi mwanzo hadi mwisho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mzee mzima Misoup nakuona na Canon yako imetulia. Unashusha vitu vya maana hadi balaa. Asante sana kaka. Keepit up

    ReplyDelete
  2. Blaza michu acha wivu, naona unatubania Manud kishenzi blaza!
    Hata dondoo ! Andalau ungeongelea goli la nne ama la tano kama la saba halikukuvutia !
    Na leo hamtoki nanna zenu Liverpool !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...