mume wa mkurugenzi wa african stars asha baraka, prezidaa hamisi bwela (njano), akiwa na mzee wa farasi ali choki na rafiki kwenye msiba wa mkwewe leo kinondoni moscow

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. POLENI FAMILIA YA KINA BARAKA, NI KAZI YA MUNGU JINA LAKE LIHEDIMIWE NI YEYE AMEMTAKA TENA KIUMBE CHAKE, KWANI HAPA DUNIANI TUNAPITA TU. AMIN

    ReplyDelete
  2. Poleni sana kwa msiba familia ya Baraka. Mwenyezi mungu awatangulie na awatie nguvu na faraja katika wakati huu mgumu. Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi, Amina.

    ReplyDelete
  3. hUYO KAKA hapo mzuri ni nani , jamani nime mpenda!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...