ndugu, jamaa na marafiki wakiwasili makaburi ya kisutu na jeneza lilliobeba mwili wa marehemu mama mzazi wa akina asha baraka aliyetutoka usiku wa kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa,mungu amlaze mahali pema peponi marehemu.
    michuzi mbona hujawapiga picha akina mama tuwaone

    ReplyDelete
  2. napenda kutumia nafasi kutoa pole kwa familia ya baraka kwa msiba mkubwa uliowakuta kwani yote hiyo ni mipango ya m/mungu na tukumbuke kuwa hiyo ni safari ya wote ila kila mtu atakwenda kwa tarehe yake aliopangiwa kikubwa ambao mado tuna pumzi tuwaomwee wenzetu walio tangulia m/mungu awapumzishe mahala pema peponi. amina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...