mjane wa rais wa kwanza wa zanzibar sheikh abeid amani karume, fatma (kulia), akiwa na hayati mama sophia kawawa kwenye moja ya mikutano siku za nyuma. leo ni siku ya kukumbuka siku ambayo sheikh karume aliuawa kwa kupigwa risasi april 7, 1972 huko zenj. na leo bongo ni siku ya mapumziko ambapo ni mwaka wa pili siku huu kuwa sikukuu ya taifa wakati kabla ya hapo ilikuwa ikifanyika visiwani tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...