nipo na mai nanihii wangu tukijidai baada ya kampuni ya wakala wa simu mpya za mkononi za mtandao wa bol waitwao 'kiboko super dealers' kutupatia vifaa hivyo vya kisasa leo makao makuu ya ofisi za 'big tv' yaliyopo jengo la nedco karibu na ymca.
simu hizi za bol tumezikubali kwani bei ni poa kichizi. yaani ukilipa alfu 36 kwa mwezi unaongea utakavyo kwa bol-t-bol bila kujali muda wa maongezi, wakati bei ya kupiga kwenda mtandao mwingine haizidi shilingi 150 kwa dakika.
kwa maelezo zaidi mpigie ali oki kupitia simu namba +255 754 788 098 -kazi kwenu wadau...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi,hawa jamaa wa bol wameanzisha network yao bongo??I mean wamefunga BTS(Minara) Tanzania nzima au ni mtandao wao ni kupitia Satellite Comunication.

    Ni vizuri kusema kweli bol kuleta mapinduzi ya mawasiliano kwani Tanzania ni mojawapo ya nchi inayoongoza kwa kuwa na gharama kubwa za mawasiliano.

    This is a challenge for big companies such as Voda,Celtel which are the leaders in high tarriff rates.

    ReplyDelete
  2. hii itaondoa gharama za simu za mitandao bongo, mana hawa tulifikiri celtel licha ya kubebwa na ttcl ingekuwa nafuu ,,wapii...

    ni bomba sana, inakuwa kama mamtoni vilee,,comviq kompis,,pwa pwa pwaaaaaaaaa----

    ReplyDelete
  3. Eeee bana eeeee. Michuzi huyu ndiyo mai waifu wako kumbe. aisee umeukata. kumbe una mtasha! tehe tehe tehe. Halafu hizo simu za BOL kama ni kweli zinacharge rate hizo makampuni mengine yameumia. Sasa mbona hujasema hizo huduma zinapatakanaje na wapi. Ama wote tuje hapo jengo la NEDCO? Ahh noma hiyo waambie. Wasambaze huduma kama wenzao basi. Hata mie nimewakubali hata kabla sijapata huduma zao. Nisalime huyo mai nanihii wako, mwambie nitanunua BOL lazima kwa heshima yake...

    ReplyDelete
  4. Safi sana nilishachoka watu kuni-beep kila mara...hii itakuwa kama mamtoni mwana...Ila ubaya wake watu wote watahamia huko halafu hii kampuni Bol mitambo itashindwa ku handle heavy traffic na itakuwa usumbufu mtupu..but lets wait and see..

    ReplyDelete
  5. mambo ya contracts za simu taratiiiibu uswahilini!!!

    ReplyDelete
  6. Tasha that ring one your finger girl- wats the score???

    ReplyDelete
  7. Sir Issa... Mmependeza,reception inakubalika, japokuwa picha nusu.

    ReplyDelete
  8. MICHUZI TUNAOMBA BEI YA HIZO HANDSET MAANA ISIJE IKAWA MAMILIONI! INGAWA KUPIGA NI KARIBU NA BURE..

    ReplyDelete
  9. Misoup siku hizi umekuwa Modo?

    ReplyDelete
  10. Tunashukuru BOL kwa hizo huduma,maana itatuletea nafuu sana.Lakini,mbona huyo wa maelezo zaidi yeye anatumia Vodacom,au namba zao za kuanzia zinafanana?maana kama ni hivyo anatupa wasiwasi wateja,hata yeye msambazaji mwenyewe hatumii?!?

    ReplyDelete
  11. Makampuni yote ya simu za mkononi ni sawa tu hakuna cha voda,celtel,zantel labda tigo kidogoo ndio wako cheap hao BOL wanavutia wateja tu hawa jipya

    ReplyDelete
  12. michuzi,
    ulitaliki kwanza au amekuwa ndo wife no.2? maana unaruhusiwa kufanya sub 4 eti? ehe ehe he heee

    ReplyDelete
  13. Nikaija Bongo naona nitatumia hiyo simu. Inaelekea ni deal safi sana.

    ReplyDelete
  14. huyo derrick, si wa tmk bondeni,yeye ni double r. napenda kutaadhalisha, mana watu hawachelewi kuvunjiana heshima humu.

    ReplyDelete
  15. Mbona mmefanana? kasoro yeye mweupe. Issa unafaidi kila kona wacha weee

    ReplyDelete
  16. simu za BoL ni poa kichizi. Ni technoljia ya VoIP (Voice over IP) yaani kupiga kupitia internet. Handset ni USD 200 tu. Sema kuna ishuz chache bado mfano bado Tigo wanabana kwa hiyo ukiwa na BoL unaweza kupiga mitandao yote ila mtu wa Tigo hawezi kukupigia. Lakini ni ishu ambayo wanaisort out muda si mrefu. Kwa anayehitaji tuwasiliane. e-mail fredmboma@gmail.com

    ReplyDelete
  17. Mzee Fredrick unaweza kutumia huo mtambo popote pale dunian au ni ndani ya bongo Tu..?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...