pasaka nimekula na watoto wa mitaani ambao wapo kibao hapa minnesota

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi safi sana hiyo, baaaaabkuba!!!

    ReplyDelete
  2. Bwana Michuzi tafadhali sana bwana MWANZA yetu ni MWANZAAA!! au NG'WANZA kwa bagosha halisi haihusiani chochote na Minnesota kwanza hata hai rhyme!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi ndugu yangu hakuna mtaa wenye watoto hao watoto ni wetu. Kwa kuwaita watoto wa mitaani inatutolea jukumu la kuwajibika kwa makosa yetu. Baadhi ya hao watoto, wazazi wao ni watu wenye uwezo, ni kwamba wamewakana na kujifanya kutowajua. tuwaite tu watoto waishio mitaani lakini ni watoto wetu na wote tuna jukumu la kuwasaidia tunavyoweza. Nawalaani wote wenye uwezo na watoto wao (wa nje ya ndoa) wanaishi mitaani. Suala sio utajiri kama wewe mzazi hulali nje, iweje mwanao alale nje katika mazingira magumu kama hayo ya mitaani?

    ReplyDelete
  4. Michuzi hao weatoto wanajua kiswazi? (kiswahili)????? au minesota hiyo Sio Marekani? mbona wengi hivyo street children auu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...