Home
Unlabelled
kung fu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hu mtindo Kama Karate Vilee..? Mzee nature tembelea pale Zanaki uone mambo ya Dojo..
ReplyDeleteushaambiwa kung fu flex, wewe unasema kama karate vilee!?... kalagabaho!
ReplyDeleteWewe "Tarehe Tuesday, April 10, 2007 7:59:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous" Acha kurukia mambo usiyoyajua. Fani ya watu hii usiingilie.
ReplyDeleteKa·ra·te A Japanese art of self-defense in which sharp blows and kicks are administered to pressure-sensitive points on the body of an opponent.
Kung Fu an ancient Chinese method of self-defense by striking blows at vulnerable areas of an attacker's body using fluid movements of the hands and legs.
Tuekee kwenye Youtube basi tuone wanavyo kung fu vile. Anaweza akatengenea workout cd hapa. Inaelekea wakimaliza kucheza hapo wame burn calories kibao....
ReplyDeletemanake ni no Gym diet just Kung Fu flex. Mwambie akitaka meneja masoko mimi nipo tu. kwanza nilivyomwembamba nitajifanya nimetumia hiyo mitindo yake kuloose weight
Sir Issa Yule Bidigadi wa saanecha (Ninja)Ndiye koyographa ? au.
ReplyDeleteJuma Nature aibiwa Sh4m Mwanza
ReplyDeleteNa Paulina David, Mwanza
MSANII wa kizazi kipya Juma Kassim ama Juma Nature (27) juzi aliibiwa Sh4milioni jijini hapa.
Msanii huyo aliibiwa fedha hizo katika Hoteli ya Dabuya iliyoko maeneo ya Uhuru jijini hapa ambapo alikuwa amefikia.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Zelothe Stephen aliwambia waandishi wa habari jana ofisini kwake kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 10 majira ya saa 10:00 jioni katika Hoteli ya Dabuya ambapo msaanii huyo alifikia.
Kamanda Zelothe alisema kuwa siku ya tukio Juma aliweka Sh4milioni chini ya godoro na kwenda matembezini na aliporudi usiku aliangalia fedha hizo na hakuzikuta na hivyo kutoa taarifa polisi.
Kamanda huyo alisema kuwa katika tukio hilo wanamshikilia muhudumu wa hotel hiyo, Halima Mustapha mkazi wa nyegezi kwa mahojiano zaidi.
Hata hivyo, kamanda Zelothe alisema kuwa kutokea kwa tukio hilo ni uzembe wa msanii huyo kwa kuwa hawezi kukaa na kiasi kikubwa cha fedha hizo hotelini.
Alisema kuwa hadi hivi sasa hakuna pesa yoyote iliyopatikana na uchunguzi zaidi juu ya tukio hilo unafanyika.