Home
Unlabelled
kirumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
napacheki golani pale kwa nyuma, siku huna kiingilio kwenda mpirani unapanda golani kucheck game, unaona vimtu vidogoo vidogoo
ReplyDeletepale gola, watu walikuwa wanakaa na viradio wakimsikiliza hayati chilambo enzi tuipussant mazembe wana kawekamo wanafanya vitu, madata, yusuph selemani,abdallah bori,masatu, rashid abdallah"mbabe",masha,beya simba,ngassa halfan,fumo, juma amir na kitwana.
ReplyDeleteanon juu unawakumbuka haoo, enzi hizo pamba ni pamba
michuzi kakosa picha ya wanatupwisa sijui ni mpiga picha gani hana hata picha yao, labda anapiga picha za timu za dar tu
ReplyDeleteMshikaji hapo juu mbona unaniangusha bwana ... umechanganya Pamba kwa vipindi tofauti . umechanganya old Pamba na New Pamba.Old PAMBA walio pandisha daraja timu ni Juma Mhina. Edward Hiza, Ibrahim Magongo,khatibu (mzuzu),Khalifan Ngassa,Issa Meroi,Edward Mwakatika, Abdallah Bori, Rashidi ABDALLAH, Hamza Mponda, Beya Simba,............ wengine wamenitoka yeyote ajazie..........
ReplyDeleteAlafu ikaju Pamba wa TUSAPU LINDANDA... Raphael Paul, kitwana selemani , Beya Simba, Mao MKAMI, Msonga Rashidi, Juma Ameri,George Masatu ,Hussen Masha,Fumo Felician, Mwa- father (john), David Mwakalebela,....wengine jazieni hiyo ilikuwa pamba tunatoka Lake unavaa mokasini wako makutano kirumba Pamba VS yanga wajanja wote tulikuwa tunakaa kushoto hiyo ni sehemu ya Pamba .. ulikuwa wakati mzuri sana wa maisha ya Africa it still in memory.
Michuzi mie ninayo picha ya Wana lindanda ya enzi hizo nikutumie nini uibandike nipi jibu
Mshikaji mmojaa.
hebu angalieni zile nyumba kule juu kama china vile
ReplyDeletenaomba muangalie kwa makini zile nyumba kule milimani ule ni ujenzi wa mautsetung
ReplyDeleteule ujenzi wa zile nyumba umenikumbusha nilipotembelea china
ReplyDelete