Home
Unlabelled
bismarck
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi huto bismark ndio nani kwa hayo majabali basi hatukawii kusikia ndio kayaanzisha
ReplyDeleteJapo Upo MZ kwa shughuli nyingine but you took time kupiga picha za Maeneo Kadhaa ya Mwanza ili wadau wako tuyajue kwa picha... Hiyo imetulia...
ReplyDeleteScene ni nzuri, ulichoniboa ni kwamba Kamera uliilaza vibaya ndio maana picha inakuwa kama ime-tilt upande mmoja. but its a good picture.
Siku hizi kumezuka Mtindo wa Makampuni kudhamini wapiga picha kwenda ku-cover matukio muhimu yanayokuwa yanaendelea maeneo ya mbali. mathalani Safari ya Staz Brazil Ben Kisaka alidhaminiwa na NMB (if I'm not Mistaken), Safari Ya Senegal Bukuku Alidhaminiwa na NMB haohao, Safari ya Yanga Tunisia Saleh Ally alidhaminiwa na Hadees...
nadhani na wewe anzisha utaratibu wa kudhaminiwa na kwenda kutembelea maeneo ya mikoani na kupiga picha kama ulivyofanya MZ. I'm sure Tour Agents can take care of this, ili mradi ukubali kuwapa Airtime ktk Blog yako..
Hii ya Mwanza nimeipenda, ni vyema uindeleze kwa mikoa mingine..
Siku njema