Home
Unlabelled
malima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
muheshmiwa spika ana pua mbaya sura yake inanikumbusha katuni za kingo
ReplyDeletembona kafanana tu na baba yako we anon hapo juu, watu wengine bwana akili matope, huna adabu,
ReplyDeleteWale waliokuwa wanashabikia uhasama akina tegambwage na wenzie sasa wameshushuka CCM chama kubwa mambo yao ndani kwa ndani hii hoja ya kujenga uhasama na kutumia vyombo vya habari itakwisha na watani zetu wenye kukaanga mbuyu wataumbuka
ReplyDeleteHivi Michuzi wee ni popobawa. Leo uko Dodoma na leo uko Mwanza pia? Tuambiane basi hat kama ni time zone differences sio hivyo bwana....
ReplyDeleteAu ulitakiwa kuweka photo by...copyright mwana mwee mwee mwee!!!
Huyu mtoto Malima kweli hana Akili hata kidogo. Yaani issue anayopigia kelele ni pumba tupu "Sakata la Malima na Mengi lilihusisha madai aliyoyatoa bungeni kuwa mfanyabiashara huyo anatumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kujipa muda mwingi hewani kuliko mambo ya kitaifa na hata viongozi."
ReplyDeleteSasa hiyo umeambiwa ni TV ya Serikali? Inaweza ikaamua imwonyeshe kabisa..Kwani Lazima? Fungua Channel ingine au Si ufungue TV stesheni yako umwonyeshe huyu JK wako masaa yote? Hii Private Company sio Mali ya Serikali wewe Kichwa Maji Malima.
Huyo ni Mtu ambaye Kikwete inabidi amtizame sana kwa karibu.Ni mtu aliyetokea Chama cha upinzani kabla ya kuingia CCM kuendeleza upinzani wake.Sina uhakika lakini naona kama Ameamua kulipa kisasi kwa kuwa mpinzani ndani ya CCM na bunge.
ReplyDeleteLakini labda nimtonye umbeya wa barabarani Kikwete. Kikwete asisahau kuwa Yeye Kikwete na CCM ndio walimfanya Baba yake, Kighoma Malima aachie uwaziri hadi akakimbilia Chama cha upinzani ambako mwanae huyo naye alienda.
Na huyo mwanae sijui kama keshamsamehe Raisi Kikwete na CCM Kwa hilo au la! Mimi sijui na sina uhakika, ila Vitendo vyake naona kama vinaongea kwa sauti kubwa zaidi kiasi cha mwenye macho kutokuwa na haja ya kuambiwa tazama.
Vita yake kwa sisi wataalamu wa saikolojia nadhani inaenda mbali zaidi ya vita na Spika.Naona kama ana vita na SYSTEM nzima ya CCM,BUNGE,SERIKALI.Ana hasira nyingi zilizojificha nyuma ya kisasi fulani ambazo kila zikipata mwanya mahali zinalipuka kama homa ya bonde la Ufa kuelekea mbele nonstop kama dege linaloruka nonstop kwenda london.
Huyu Malima hapo anajidai kucheka tu. Jamani, Watanzania wenzangu, kama jana mmemsikia Mheshimiwa Spika alivyoelezea mambo aliyoyafanya huyo bwana mdogo, kwa kweli inasikitisha sana. Ninataka kushirikiana na Watanzania wenzangu kuwaambia kuwa, tatizo la huyu bwana mdogo ni serious, la MALEZI MABAYA. Waingereza wanasema, "CHARITY BEGINS AT HOME". Huyu bwana ana tatizo hilo. Na wala si la mzaha. Mh. Spika alisema kuwa anahitaji msaada. Kwa kweli watu ambao mna fursa naye, munsaidie, la sivyo tutakuja kuwalaumu. Haya ni matatizo makubwa. Ninachoogopa kwa upande wangu ni kwamba, inaelekea hata yeye mwenyewe hajui kama ana tatizo kubwa kiasi hicho.
ReplyDeleteSisi tulio nje ya uwanja wa bunge, ndiyo tunaoona vizuri zaidi kuliko wale ambao wapo ndani.
Dharau za kijinga na kishamba kama za Malima hazina budi kukomeshwa kabisa. Hatuko tayari kusikia upuuzi wa watu ambao kwao hawajafunzwa kama kuna kuwaheshimu wakubwa wake. Hapa sisemi kuwa wakubwa hawakosei, mimi ninaangalia swala hili la Malima tu. Spika si mtu wa kumdharau, eti, "si mbunge kama mimi!" Ninaelewa kuwa baba yake alishatangulia mbele ya haki, Mungu amlaze mahali pema, bali mama yake mzazi bado yupo, aende kwao Regent akapate ushauri kwanza kutoka kwa mama yake.
Pili anafikiri Mr. Mengi ni rika lake? Kwanza amemkosea, halafu dharau za nini? Anafikiri huyu mzee akikaa kimya ni mjinga? Watu wana ustaarabu wao na wamelelewa kwenye maadili.
ASIYEFUNZWA NA MAMAYE, ATAFUNZWA NA ULIMWENGU! AIBU GANI HII KWA ADAM KIGOMA MALIMA!!
AKUTUKANAYE SI LAZIMA AKUAMBIE SHENZI! JANA YALE MANENO YA SPIKA YALIMFAA SANA MALIMA.
KAMA ANA AKILI ATAKUWA AMEJIFUNZA!!
Mungu ibariki Tanzania!!!
Huyo Malima ameboa sana sasa hivi watu wanampuuza kama zuzu fulani hivi. Aibu tupu! Nahisi hata Mh Sitta alikosea, alipaswa ampe adhabu tokea mwanzo ilipobainika ametoa madai ya uongo. Sasa hii tabia ya kuoneana haya (sijui anamwogopa kwa lipi) ndiyo imemfikisha mzee wa watu katika hali ya "kusononeshwa sana" na kijana Malima ambaye inaonekana wazi hana hata chembe ya aibu wala adabu!
ReplyDeleteNawaunga mkono Waliotangulia kuchangia maada.
ReplyDeleteHuyu kijana aende akamwombe MR.Mengi radhi na arudishe fedha zote zilizotumika kulipia wajumbe wa kamati ya kuchunguza upummbavu wa Huyo Malima.
Tena akome kuzungumza ujinga Bungeni na asipitishwe tena na Kamati kuwania ubunge kwa tiket ya CCM
Nichukue nafasi hii niwape pole kubwa sana wananchi wa Mkuranga waliomchagua huyo mbunge kwa sababu badala ya kusimamama kidete na kutetea wananchi wa Mkuranga wapate maendeleo kaaamua kusimamia mambo ya wakazi wawili wa Mkazi wa Dar es Salaam (Manji na Mengi) ambao wabunge wa Dar es salaam ndio ilikuwa wawatetee au wachachamalie mambo yao.
ReplyDeleteLakini huyu Malima Kaacha ya kwake kijijini Porini Mkuranga kashupalia ya Jijini ya wengine!!Halafu unatarajia eti Mkuranga kupate maendeleo kwa kuwa na mbunge wa aina hii?
Ingekuwa ni Bunge la Kenya au Uingereza angetwangwa mangumi bungeni mbele ya spika na wabunge wa Majimbo ya Dar es salaam (Ilala,Temeke,Kinondoni) kwa kuwaingilia majimbo yao na kujifanya kinara jimboni kwa watu wengine.
Nchi kama Kenya na Uingereza hawakubali hata siku moja mbunge wa Jimbo Lingine kujifanya mtetetezi wa Mwananchi wa jimbo la ubunge lingine.
Kule kama wewe ni mbunge wa Tabora huthubutu hata siku moja kuzungumzia mambo ya jimbo la Morogoro.Utapigwa ngwala mbele ya spika,na utatapika nyongo ya ulivyokula.Ndiyo maana ngumi na mateke kati ya wabunge ni vitu vya kawaida wawapo bungeni katika nchi hizo.
Nimeamini Tanzania kuna utulivu na amani.Wananchi wa Mkuranga wamekaa kimya,wamemtuma aongelee ya Mkuranga yeye kaamua kuongelea na kuyavalia kidedea mambo ya Dar es salaam ya wakazi wawili wa jiji la Dar es salaam wanaotembelea magari ya fahari na kuishi nyumba za fahari yaani Mengi na Manji na kuacha kuwatetea watu wake wasio hata na ndala wala baiskeli na wanaolala kwenye vibanda vya nyasi wa Mkuranga na hao wananchi wamenyamaza kimya kama wamemwagiwa gongo.Kweli Tanzania wanachi makondoo haki ya Mungu.Ingekuwa Rwanda angerudi angetiwa ngeu ya kutwangwa na nondo na wananchi waliomchagua kwa kuwaangusha akiwa bungeni na kutowatetea.
Hiyo kelele ya nguvu aliyopiga ya kushughulikia mambo ya Mengi na Manji ambao hawatoki jimbo lake la uchaguzi angeitumia kutetea Mkuranga nadhani watu wangemwona shujaa kule walikompigia kura.
Kama tutaendelea kuwa na wabunge wa aina hii ya huyu wa Mkuranga itachukua miaka maelfu Mkuranga na maeneo yanayofanana na hilo kuja kuendelea.
Ndugu yangu jimbo lako ilna rutuba sana, baada ya kuwatafutia wananchi wa jinsi gani watapata maji ili walime kitaalam, umeanza kuropoka ropoka, sina uhakika kama huna faili muhimbili, angalia kwanza maendeleo ya mkuranga ambayo yako nyuma sana.
ReplyDeleteWengi wenu hapo juu ni mazuzu,hili suala halikutakiwa hata kujadiliwa bungeni wala mtaani,mengi na manji ni kina nani katika nchi hata suala lao liwe hatari kwa taifa au mpasuko wa kidini,uchumi wa mengi na manji ni wa kiujanja ujanja,kama hajui walivyo pata uo uchwara mnao uita utajiri basi fuatilia NBC na mashirika mengi,anayetaka proof atapata acheni ushamba wenu na ujinga wenu wa ulaya na marekani na siasa za kujikomba za bongo!!Pili kuhusu siasa za CCM na kumlaumu huyo bwana mdogo jinga malima pamoja na huyo mpuuzi spika na waziri mkuu wake hizo ndo siasa za bongo,wangapi wanasema uongo kila siku bungeni?sio wapinzani sio CCM,SIO MAWAZIRI SIO rAIS LEO HAKUNA TAIFA LISILO NA MWELEKEO KAMMA TANZANIA,hatujui tuendako ni blah blah tu.Tatu kulindana ndani ya CCM ni lazima nawatoto wa viongozi ndio wanao kamata na watakao kuwa madarkani,kuanzia kwa kawawa mpaka JK,SIO SIRI KESHO RIDHIWANI NA USISHANGAE KINJE AKAWA your next president sioni ajabu kama unabisha angalia usanii unaoendelea katika chaguzi ndogo za CCM!!!!kaeni huko ulaya na marekani na sisi wengine hapa bongo wote kwa pamoja tusipo fanya kitu tukaishia kujadili chupi,viatu,magari na nani zaidi kati ya mbeba maboksi wa UK na US then tumekwisha!nawasilisha michuzi sijui kama utaweka hewani hii
ReplyDeleteHuyu kijana siyo mjinga tu BALI NI ZUZU,ana watu nyuma yake ambao wanampa kiburi mmoja ni MFANYABIASHARA MAARUFU na mwingine niMKUU WA SHIRIKA MOJA LA UMMA,hawa wawili ndiyo wanaompa kiburi cha kudharau bunge na spika,hao ndiyo waliomsaidia katika kugombea huo ubunge kwa kumpa fedha,usafiri na hata mawazo,kwa wanaomfahamu Adam hawashangazwi na hiki anachokifanya ni kawaida ya kujifanya mjuaji hebu chukulia mfano wa alichowajibu waandishi wa habari wa Mwanancnchi kwamba yeye hajui kiswahili wamuulize kwa kiingereza sasa kama siyo ulimbukeni ni nini?Naungana na wachangiaji hapo juu waliosema kwamba wananchi wa Mkuranga wamepata hasara kwani hwana Mbunge kwa miaka mitano ijayo kuna mfano wa Mbunge!ni aibu kwa CCM kwa kuwa na mfano wa mbunge.
ReplyDeleteNa hawa wanaompa mawazo nao wamepoteza dira huwezi mtu na wadhifa wako ukamuunga mkono mjinga huyu nadhani lazima nao wanamatatizo kiasi fulani kama siyo maslahi
NI KUPOTEZA PESA ZA WANANCHI KWA KUWA NA MBUNGE HUYU KWANI AKIKAA BUNGENI ANALIPWA POSHO KWA KITU AMBACHO HAKIONEKNI ZAIDI YA KUENDELEZA MAJUNGU.NAOMBA BUNGE LITUNGE SHERIA ITAKAYOWEZESHA WAPIGA KURA KUMKATAA MBUNGE KAMA HUYU KWANI ANALITIA HASARA TAIFA
MICHUZI CHONDE CHONDE USINIWEKE KAPUNI:NINAYO MACHACHE YA KUSEMA MBUNGE WA MKURANGA NDIO HUYO TUMEMUONA HANA HATA UFAHAMU WA SHERIA ZA BUNGE KUWA HAKUNA CHOMBO KINGINE KINACHOWEZA KUHOJI NJEE YA BUNGE MASWALA YA BUNGE SASA BASI HII NDIO AWAMU YA USANIII MTUPU BUNGE LIMEJAAA WASANIIII TUMEKWISHA WATANZANIA KWA MIAKA HIYO 10 NI USANIII TUPU MALIMA MSANIII CCM WASANIIII HATA HUYO KATIBU KUPOKEA BAUA NI KUONYSHA KIASI GANI HAJUI ANGEMFUKUZILIA MBALI NA HICHO KIBARUA CHAKE
ReplyDeleteWEWE MWENYE UFAHAMU(Anon hapo juu) NI MBUNGE WA WAPI? KUMBAKUMBA WEEE! For u'r damn information politics is a deadly game people die everyday.
ReplyDeleteIf u have the courage, join the game! Kama alivyosema mtangulizi(anon. 12/04 9.11): kukubali taifa letu changa liendeshwe na wezi na wasanii ni ulimbukeni tu, ambao wengi wetu bado tunao. Ee Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Asanterabi.
Bunge lililopita lilikuwa na watu ambao vichwa vyao sio mchezo bungeni.
ReplyDeleteMfano wa Mheshimiwa Masilingi aliyekuwa Waziri anayeshughulikia Utawala bora.Kuna hoja ililetwa bungeni na mbunge mmoja akidai bunge limwongelee Mchungaji Christopher Mtikila kwa kile kilichodhaniwa kumtukana Waziri Mkuu wa Wakati Ule Sumaye kupitia vyombo vya habari.
Mheshimiwa Masilingi alisimama kujibu hiyo hoja akawaza kidogo na akasema kwa kujiamini kupita kiasi kuwa Kazi ya Bunge si kushughulikia mambo ya watu binafsi yawe ya Mtikila au yeyote.
Hoja ile ikafia hapo na hela ambazo zingetumika kuunda kamati ya kushughulikia Mtikila zikanusurika zikaenda kwenye matumizi mengine ya maana.
Hivi hili bunge la sasa hawasomi taarifa za mabunge yaliyopita? Wangekuwa wanasoma suala la Malima wangelitupilia mbali kabla hata hajaongea.
Jamani hivi hili bunge la sasa mna matatizo gani? Hamna watu humo hata wa kulishauri kabla halijaadhirika mbele ya wananchi?
Bunge lazima lijue kuwa Watanzania wa sasa si kama wa wakati wa Nyerere,Mwinyi au Mkapa.Iko siku wananchi watalivamia bunge na kuwazomea humo humo ndani kama mtaendelea kulifanya bunge kama sehemu ya kijiweni pa kuendesha mambo kienyeji na hovyo hovyo.
BRAVO MALIMA!
ReplyDeleteWEWE NI MBUNGE ULICHAGULIWA KWA KURA HALALI ZA WANANCHI WA JIMBO LA MKURANGA NA UPO BUNGENI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM). WAPO WENGI WANA MAPESA YAO WANATAMANI KUINGIA HAPO LAKINI WANAJIJUA HAWAKUBALIKI KWA WANANCHI.
UNA HAKI YA KUTUMIA FURSA ZOTE KAMA MWAKILISHI WA WANANCHI.
KWA KAWAIDA CCM INA TARATIBU ZAKE KATIKA KUSHUGHULIA MAMBO YAKE YA NDANI, NI SAHIHI KABISA HILO SUALA LIKAJADILIWA NDANI YA CHAMA, KWA KWA MUJIBU WA BUNGE UMEMALIZA WAJIBU WAKO KAMA MWAKILISHI WA WANANCHI WA MKURANGA.
UNAJIAMINI!!!!
PIA NAMPONGEZA SPIKA KWA BUSARA ZAKE, ISIPOKUWA KAMA BUNGE LITAENDELEA KUENDEKEZA WATU WACHACHE WANAOTAKA KUTUKUZWA NA ATI IKIBIDI WAOMBWE RADHI NA WABUNGE NI KUDHALILISHA HADHI YA BUNGE. HATA HIVYO MNAWEKA PRECEDENCE MBAYA SANA, ITABIDI BUNGE LISHUGHULIKIE INDIVIDUAL CASES NGAPI AU YATENGWE MABILIONI MANGAPI KUJADILI NON-ISSUES?
SPIKA ULITELEZA!!!
Huyu Mbunge kwa kweli alichmka nitoke vipi yake haikuwa na vina wala nini!! After all places Mkuranga!! Kuna matatizo kibaaaaaaaao kuna simba wanakula watu kila siku!! Hakuna maji hata kidogo watu wanasafiri kila siku kufata maji hado Kongowe maji safi, Kuna mtoto aliliwa na simba akitoka shule ilibidi adamke afike shule hayo ndio ya kuyaongelea unamuongelea Mengi!! Kweli Malima Plag hazichomi zote!!
ReplyDelete