Home
Unlabelled
mama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa wewe mama mzima unafanya nini hapo na mtoto wako? si ukae nyumbani tu? Au umwache mtoto ya baby sitter nyumbani..sasa nyimbo hapo wanaume wakianza matusi unamwambia nini mtoto wako?
ReplyDeleteSheria inasemaje jamni Tanzania kuhusu hili? maana mamtoni huwezi kwenda kwenye concert na mtoto mdogo..utafungwa!
Yaani mtoto viatu hana ila kiingilio cha kumuona sir nature hela ipo!
ReplyDeletemaskini wee,... kwanza muziki hauna umri, Huyo Binti hata 27 sidhani kama kafikisha tayari mshambandika 'mama mzima', hamjui labda ni mdogo wake?... mamtoni gani hiyo huwezi kwenda Live concert na mtoto mdogo? Hapo ni Nyumbani Tanzania, hiyo ndiyo (Reality) hali halisi ilivyo, sio kila kitu tukandie! hebu bro Michuzi wakumbushe hawa jamaa na wimbo 'Nyumbani ni nyumbani' -Juma Nature na TMK.
ReplyDeleteKweli watu hawana kazi,Cha maana nini hasa hapo,yaani kuwaangalia tuu hao TMK,Poleni sana ndio maana tz hatuendelei, tunaacha kufanya ya maana tunakalia kuangalia ujinga tuuuuu
ReplyDeleteWewe Tarehe Tuesday, April 10, 2007 7:44:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous,
ReplyDeleteUnjua athari za makelele ya muziki wa Concert kwa mtoto kama huyo? Ngoma za masikio zinaweza kupasuka kwa taarifa yako.Hii kitu serikali inabidi ingalie manake nawaona watoto nyomi kwenye hii picha...sheria itungwe kuwalinda watoto.
mtoto kabanwa mkojo, na umri ule pamper hataki
ReplyDeletekwani ulaya hamna concert,waacheni watu wa enjoy, kama mmeshindwa kupata fedha ya concert huko kwenu ni ujinga wenu na laana ya kujilipua, mtabeba sana maboksi hadi mpinde
ReplyDeleteKuenjoy sio tatizo lakini picha yasema yote. Hela ya J nature anayo lakini mtoto hata kanda mbili hana....Hii ni aibu hamna cha kuichi nje ya nchi au ndali ya nchi it doesn't take a rocket scientist to figure that out. Twahitaji sheria na GOVT kujihusiha kwenye ustawi wa jamii. Watoto hawana sauti na sisi wakubwa ndio sauti zao.
ReplyDelete