Home
Unlabelled
mikopo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sir Michuzi hebu funua ndani ya ilo gazeti la Habari Leo...may be jina langu ni mojawapo ya wadaiwa sugu.Nianze kubeba mabox kwa nguvu nipunguze deni.
ReplyDeleteyeah a lot of fellows nowadays have B.A., M.A., and Ph.D. but no J.O.B. How are they going to pay that back???
ReplyDeleteMsolla anacheza, kwanza the so called "wadaiwa" hawajui kiasi wanachodaiwa--- hapa deal tayari mkusanya ushuru lazima naye aweke 10% juu. Nasikia hata warundi, wanyarwanda, wakenya, n.k nao wapo waliopewa mikopo, je nani vipi itarudishwa au ndo mambo ya EA coop. Jamani mimi nafikiri nadaiwa kidogo kwani enzi hizo tulipewa 1000 kwa siku, ila nyie vijana mnaomaliza sasa hivi shughuli pevu mnayo na kazi hamna. Na hawa jamaaa walivyo na roho mbaya wanaweza uza kishamba cha mzee wako kama alikuzamini ili kulipa deni. Michuzi wewe umekula chumvi huwezi kuwemo bro.
ReplyDeleteMimi nafikiri, si busara kwani karibu wanasiasa, viongozi wote na wazee wote Bongo,Gavana,Directors etc, wamesomeshwa Bure na wanafedha na bado watoto wao wanasomeshwa bure wengine nje ya nchi!!
ReplyDeleteSasa kwanini watu walipe hiyo pesa?
Mh.Mkono muulize nani alimlipia hiyo ada ya chuo kikuu?
Niko tayari kuanzisha NGO ya kupinga hili.
FOE G211 Mpo wapi??
Michuzi, Mimi nikiwa kama miongoni mwa waliofaidi huu mkopo, kweli itabidi niulipe tena nataka nipewe details namna ya kulipa hizi hela. maana sijaajiriwa na serikali na haina habari zangu! Ila ni vema watu tulipe hizi hela na wadogo zetu wasome. Walah bila huu mkopo mimi nisingefika Dar Es Salaam!!!!
ReplyDeleteNi kweli kwamba the whole system is just a mess, vigezo walivyotumia kwa wanaolipa kwamba ni wale waliomaliza mwaka 1994 na kuendelea naona ni utapeli tuu..Nevertheless haina haja ya kulumbana nao...as long as nilipewa pesa nikapata shahada yangu..sina budi kuwarudishia kilicho mali ya umma!! Maana ukisema uanze kuchambua maamuzi ya serikali yetu..utaichukua na hutawalipa kamwe!!! Hima hima waungwana tulipe hii pesa (kwa wale wenye uwezo tayari).....Na wenzetu akina Kalumanzira waje shule ya juu!!
Happy Easter to you all.
Hawa jamaa wanashangaza sana. Unapotaka mtu alipe mkopo wakati hujamuandalia mazingira ya kulipa unataka nini. Mi ningeshauri HELSB isiwe katika mikopo tu bali pia ihusike na sera za kuwafanya wahiimu wapate uwezo wa kulipa. Mfano iwe ni lazima kwa muhitimu kufanya kazi serikalini kwa miaka kumi pindi amalizapo mpaka deni liishe, hii inamaana kuwa hao waliopitisha huu muswada sasa warudi kwenye sector binafsi na kujiari baada ya kupata uzoefu, Lakini cha ajabu wanang'ang'ania nafasi mpaka wanashindwa ku analyse maamuzi yao na kupitisha maamuzi ambayo hata wao wanajua hayatekeleki. Na cha ajabu wakimaliza muda serikalini baada ya kufungua Ajira binafsi, na kusaidia wengine, wanatumia kiinua mgongo kuingia bungeni na kuwa rubber stamps wa miswada. Sasa ni wakati wa kuwaachia vijana wanaotoka vyuone nao wapate uzoefu.
ReplyDeleteSasa unaposema 94/95 onwards ndio walipe unamaanisha kuwa huko nyuma watu wlikuwa wanasomeshwa na wazazi wao au nini?.
Sheria huwa haitungwi kuact kwa mambo yaliyopita bali ni mambo yaliyopo na yajayo.
mi nina uhakika kuwa tukiamua kuichallenge hii sheria mahakamani Bodi haina haki, kwani haikuwepo kipindi hicho.
Ila tatizo la bongo siasa ndio muhimili na sheria basi watatufunga wote maana kazi hatuna.
Bwana lipeni hela za watu. Hivi hamjui siku hizi kusoma ni asset yako wala sio asset ya Taifa tena. Waliosomeshwa mika ya nyuma ni kwa vile Govt ilikua inahitaji watu. na kama ungetaka usimeshwe bure basi ungezaliwa miaka hiyo. Msijitie kiburi hapa.
ReplyDeleteNchi zilizoendelea hata grants hazina tena ni scholarship au loans. Na ukimaliza shule kama ni loan ni shurti urudishe hawajali unakazi au huna. Kuna watu wamemaliza shule miaka 15 iliyopita na bado wanalipa school loans au kwa jina lingine zinaitwa good loans.
I wishi hizo ID za JK zingetengenezwa mapema na ziwe trackable kwa mambo ya finance .......
Hii ni dalili ya wazi kwamba Serikali Haijui ilimkopesha nani, Mwaka gani, Kiasi Gani na ktk Taasisi ipi...
ReplyDeleteKama ingekuwa na hizi details, basi isingehitaji msaada wa 'Waajiri' ili kujua idadi na majina ya wadaiwa.
Michuzi, hii issue sio ndogo kama unavyoiona. nakuomba sana utafute namna uiweke tena hewani wadau tuichangie kwa kina.
hii ni dalili ya kwamba serikali haina data zake muhimu. hili ndilo linalonipa wasiwasi sana. na sio deni ninalodaiwa mimi kwa kusomeshwa UDSM.
Serikali hii (sambamba na zile zilizotangulia) haina PRO-ACTIVE planning, mambo yote sasa hivi ni REACTIVE. RVF ilianza kusikika ikiwa Kenya, serikali ikawa kimya mpaka ugonjwa umeingia tanzania na kuua watu na kuathiri uchumi wetu kwa kiasi kikubwa. sababu iliyochelewesha Kinga ilikuwa ni ukosefu wa FEDHA. Sasa hivi Serikali hiyo hiyo inatumia FEDHA zaidi ya zile ambazo ingetumia kwenye kinga kupambana na ugonjwa huo. Sielewi Mawaziri na Ma-RC walikutana Dodoma kujadili nini ilihali walishasema hela hawana. sidhani kama 'vikao' vyao vilienda bila 'bahasha' kutembea...
In short, serikali haijui inategemea kukusanya mapato kiasi gani kutoka vyanzo vyake inavyovitegemea. ikiwemo malipo ya hii mikopo. Muulize leo Msola wanategemea kukusanya sh ngapi kama makusanyo ya mkopo, uone atakupa jibu gani. hatakuwa na jibu sahihi. atakupajibu la kisiasa..
inawezekana kabisa somehow serikali ilikuwa inasomesha wanafunzi hewa. na wajanja wacheche walikuwa wanakula mshiko.
hali hii (ya kutokuwa na taarifa muhimu kwa ajili ya planning) huwa inatokea mara kwa mara ifikapo wakati wa serikali au taasisi zake kuanza kudai Madeni.
No wonder sasa hivi Kikwete anakuwa anapiga Misele ughaibuni kutafuta chochote (kuomba misaada). Hajui nyumbani atakusanya Sh ngapi..
Its time we start to challenge the government for the goodwill of our nation. Hawa wanasiasa wanatupeleka pabaya....