niko minnesota kula pasaka...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi,safi kutuletea picha za mwanza,na imiss sana,ila airport hii,haina hadhi jijini.

    ReplyDelete
  2. Habari bwana Michuzi. Jaribu kuwauliza wana Mwanza kama ile film ya mapanki (Darwin's Nightmare) walishaiona. Maana nilipata bahati ya kuiona, yaani inatuzalilisha sana watanzania ingawa inaongea hali halisi ya ugumu wa maisha ya Watanzania wa Mwanza hasa wanaookota mabaki ya mifupa ya samaki (Mapanki) na dada zetu ambao wanafanyabiashara ya ngono na ma-Captain wa ndege zinazoleta na kuchukua mizigo hapo Mwanza. Zumba's

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...