hebu furahieni video za ngoma ya zenj katika kusherehekea pasaka kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Haya bwana Michuzi, mambo ya Pwani wakati mwingine huwa yanafurahisha. Ingawa sijaelewa kwamba mtu "anaogea jikoni na kupikia bafuni"??????? by Zumba's

    ReplyDelete
  2. Michuzi thank you so much. Mipasho hiyo imenifurahisha sana tu. bibie anapika bafuni na kuogea jikoni...mh mh mh mh mh

    Kweli hii mipasho ikija nchi za ughaibuni naona vijineno vitaondoka....

    Thanx man

    ReplyDelete
  3. Mh, mambo ya uswahilini du, but thanks, niemeicheki hadi mwisho walipoamua kukata mauno, its a good reminder of home

    ReplyDelete
  4. Aah kaka Michuzi nimefurahi kweli,kuskia mambo ya mwambao,naomba basi utuwekee na za marehem Omar kopa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...