
baba askofu valentino mokiwa wa kanisa la anglikana la mtakatifu albano akihutubia muda mfupi uliopita wakati wa ibada ya ijumaa kuu ilofanyika kitaifa kanisani hapo. baba askofu pamoja na maneno mengine ya busara amekemea sana rushwa katika jamii katika hotuba yake hiyo iliyorushwa laivu na vyombo vingi vya habari.
samahani awali nilikosea jina sasa nimerekebisha.


Huyu askofu kwa nilivyokuwa najua anaitwa Valentino na sio Silvester. Au kabadili jina?
ReplyDeleteNIMEFURAHI SANA KUMUONA ASKOFU MOKIWA, NAOMBA NIPATIE NJIA ZAKE ZA MAWASILINO,(CONTACTS)NATAKA KUWASILIANA NAE BINAFSI, Sote ni watu wa Jamhuri ya Tanga ingawa niko Ughaibuni kwa sasa. Plz Michuzi
ReplyDeleteHuyu Askofu aligeuka Mwiba kwa Serikali yetu kisanii.
ReplyDeleteKawapaka na utani wao wa madawa ya kulevya na hadithi za maisha bora kwa kila Mtanzania.
Nahisi sasa viongozi wa dini wameanza kumuona JK miyeysuho.
Kina Sheikh Simba nao wanataka kumkazia juu ya Mahakam ya Kadhi.
JK aliwaweyeyusha hadi viongozi wa dini yake mwenyewe itakuwa sie tuliokataa PEMA PABAYA PANATUITA